Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Nimecheka sana baada ya kuiona video hii ya bwana mdogo akilia huku akitoa maneno nataka kuhamia Yanga
Hii yote inatokana na mateso ya kufungwa timu yake ya Simba, kwahiyo dogo kaona ya nini kupata tabu za vipigo kila siku, ni bora aje kwenye timu ya mabingwa wakati wote.