Nadhani madalaja haya yalianza kutumika kabla hawajayatoa kwa umma.
Ndio maana vijana wengi wa mwaka jana hawakuweza kufanya vizuri.
safi sana . Angalau wenye 80% nao watapata grade A badala ya grade B ya zamani. Haikuwa haki! Grades zingine pia ziko safi.
Sijakosea boss. Kwa maoni yangu lengo la hizi grades ni kuwafanya wanafunzi wajitume-wasomena kwa bidii. sekondari siyo sehemu ya kukuzia vijana bali kusoma na kuelimikaMkuu, hapo umekosea, jaribu kutetea majority ambao kiwango chao cha uelewa ni mdogo.
Hapo kwenye hizo grade za F na D
Sijakosea boss. Kwa maoni yangu lengo la hizi grades ni kuwafanya wanafunzi wajitume-wasomena kwa bidii. sekondari siyo sehemu ya kukuzia vijana bali kusoma na kuelimika
Source please....
hapo lazma tupande toka 60% mpaka 80% imean 0
HUWEZI KUPANGA GRADES ZA UFAULU WA WANAFUNZI KWA VIGEZO VYA MIGOMO YA WALIMU, UKOSEFU AU UPUNGUFU WA WAALIMU, VIFAA VYA KUFUNDISHIA, i.e MATATIZO YANAYOISIBU wizara YA ELIMU ETC . GRADES ZINATAKIWA ZI-REFLECT UELEWA WA WANAFUNZI KATIKA NGAZI HUSIKA- IRRESPECTIVES OF THE PREVAILING PROBLEMS FACING THE EDUCATION SYSTEM. KWAMBA GRADES ZIPANGUZWE/ZISHUSHWE KWA SABABU KUNA MATATIZO KWENYE WIZARA YA ELIMU IS RIDICULOUSUnadhani kushuka kwa kufaulu wa wanafunzi wa kidato cha nne kunatokana na wao kutojituma pekee!?
Nakupandishwa kwa grade inamaana ya kutakuwa na kupanda kwa ufaulu wa wanafunzi hao?