Haya madaraja mapya kwa mitihani ya kidato cha nne: Kuboresha kiwango cha elimu inchi

Haya madaraja mapya kwa mitihani ya kidato cha nne: Kuboresha kiwango cha elimu inchi

Naona kama F zitaongezeka...

Mkuu uko sahihi kabisa, wanaokosa vyeti lazima waongezeke maana hata zile Div. IV za sasa nyingi wanapata alama kati ya 21-30 sasa kama pass mark ni 35 ni dhahiri kuwa tujiandae kupokea vijana waliokaa miaka minne mashuleni baada ya hapo wanarejea kijiweni kuungana na wale waliofeli darasa la saba.
 
Hili nalo neno,
Kama hizi grade zilianza kutumika tangu enzi (1984) kwanini wanafunzi (wahitimu) na walimu kwa pamoja walikuwa wanajua tofauti na hizi?

Na kwanini ilifanywa siri yakuto uelemisha au kuuhabarisha UMMA wa waTZ juu ya hili?

Hiyo ni pointi mkuu. Hata hao wanaosema alama 21 ndiyo iliyokuwa inatumika wamwage hapa ushahidi wao. Mie naiaminia Wizara kwa kutoa nyaraka kama utaratibu huo ulikuwepo basi lazima kutakuwa na waraka kama ilivyo kwa F2 waraka unaonesha kuwa pass mark ni wastani wa alama 30 na ulisambazwa kwa wakuu wite wa shule
 
Mkuu, hapo umekosea, jaribu kutetea majority ambao kiwango chao cha uelewa ni mdogo.

Hapo kwenye hizo grade za F na D

Sikubaliani na wewe kwamba tuna tatizo la uelewa wa wanafunzi -- ingawa linaweza kuwa ni tatizo mojawapo kupelekea matokeo mabovu, lakini sio tatizo kuu.

Umewahi kufikiria kuhusu nafasi ya lugha ya kujifunzia na kufundishia na namna lugha hiyo inavyoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kujieleza na kuelewa anachofundishwa? Kwa nini tusianzie hapo?

View attachment Birgit Brock-Utne 2002 CIES paper.pdf
 
Suala la lugha ni tatizo kubwa si tu kwa wanafunzi lakini hata walimu wengine lugha ya Kiingereza inawasumbua. Nadhani kama NECTA wangekua strict kuangalia lugha wakati wa usahihishaji zero zingefika 80%. Naunga mkono suala la lugha liangaliwe lakini standard ziwe juu sioni mantiki kwa nini kufaulu kidato 4 iwe kiwango cha chini kuliko Kidato 2
 
Considering the two colored sentences, do you think what you write or you write what you think?? if i may ask? make anona umeuliza na kujijibu.......kitu muhimu kwanza kabla ya kuweka standards wangetengeneza mazingira mazuri ya kupata hizo standards....sasa mtu hana walimu hana vitabu hana maabara...afu unamwambia A=80%-100%. mi nafikiri wangedefine hizo garade kwa wanafunzi wa st za kwetu (kayumba) na wale wa st za kwao...(marys', maua and the like)....
Nadhani wewe unashindwa kuelewa nini maana ya standards, kitu kinaitwa standard ni lazima wewe muhusika ukifikie haijalishi upo kwenye mazingira gani, na ndio maana nikasema elimu hiyo tunayoipata tazania haitumiki hapo tu, sasa ukisema tuangalie mazingira yetu ndio tujitengenezee passmarks huoni tutakuwa tunajdanganya?
 
Sikubaliani na wewe kwamba tuna tatizo la uelewa wa wanafunzi -- ingawa linaweza kuwa ni tatizo mojawapo kupelekea matokeo mabovu, lakini sio tatizo kuu.

Umewahi kufikiria kuhusu nafasi ya lugha ya kujifunzia na kufundishia na namna lugha hiyo inavyoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kujieleza na kuelewa anachofundishwa? Kwa nini tusianzie hapo?

View attachment 88232

Mkuu, tukianza kuzungumzia lugha inayotumika kufundishia, hili ni swala pana sana, yahitajika mjadala mkubwa, lakini kwa ufipi tu, lugha itumikayo sasa inamazuri yake na mabaya yake pia, chamsingi nikuangalia katika hayo mabaya na mazuri lipi linachukua nafasi kubwa.
Kwa upande wangu nitakuwa mfuasi wa lugha hii inayotumika sasa.
 
Matokeo ya form four mwaka huu yatakuwa ni bora sana kuliko ya mwaka kesho.
 
Mfumo wote wa elimu unatakiwa kuboreshwa kuanzia shule za msingi mpaka chuo kikuu.
 
Wazo la kuudhi na kuchefua. Ni la pili tu toka lile la kujaribu kubadilisha vipimo vya kwenye mizani kwa matarajio ya kuongeza ubora wa ngombe na mahindi. Most ridiculous!
 
Mkuu, hapo umekosea, jaribu kutetea majority ambao kiwango chao cha uelewa ni mdogo.

Hapo kwenye hizo grade za F na D
Unataka waje kuwa kama Mulugo? Huwo mchujo safi sana tutapata wanafunzi bright in future kuliko wa sasa.
 
In samare kama kwenye vyeti vyako una D na C consider yourself una F tu. Tutababki sie kina mnyika tulio na vibanda vitupu lol. Napena le mutuz mlie tu, treni ishaondoka.
MADARAJA MAPYA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE:
Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo:

A = 81%-100%-
B = 61%-80%-
C = 41%-60%-
D = 21%-40%-
F = 0%-20%-

Mabadiliko mapya yamefanywa na sasa madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo:

A = 80%-100%-
B = 65%-79%-
C = 50%-64%-
D = 35%-49%-
F = 0%-34%-

Taarifa imetolewa mapema ili wanafunzi kwa kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na mitihani ijayo.

Nini Maoni yoke. . .
 
naona record waliovunja mwaka huu haijawatosha pengine mpaka wafauru wanafunzi 2000ndio wataridhika
 
MADARAJA MAPYA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE:
Serikali kwa kupitia wizara ya elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne. Hapo awali, madaraja yalikuwa ni kama ifuatavyo:

A = 81%-100%-
B = 61%-80%-
C = 41%-60%-
D = 21%-40%-
F = 0%-20%-

Mabadiliko mapya yamefanywa na sasa madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo:

A = 80%-100%-
B = 65%-79%-
C = 50%-64%-
D = 35%-49%-
F = 0%-34%-

Taarifa imetolewa mapema ili wanafunzi kwa kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na mitihani ijayo.

Nini Maoni yoke. . .

kama ni kweli ziro zitakuwa asilimia 99!
 
Aliyeweka hzo grad anahc hk kizaz ni cha mageniaz au vp maaaana... Asilimia 60 zitakuwa bora kwa nxt yea.
 
Sikumaanisha zipenguzwe au ziongezwe, point yangu ni kutaka kujua sababu kuu za kupandisha hizo grade za ufaulu wa wanafunzi.

Lengo lao hasa ni nini?
a) kufanya wanafunzi wasome sana?
b) kupunguza/kuongeza idadi ya ufaulu?
c) walimu wajitaidi kufundisha zaidi?

HAKUNA JIBU SAHII A,B AU C

unashangaa za o level A level

A 80-100
B 75-79
C 65-74
D 55-64
E 46-54
S 40-45
F 0-39

Huu mchujo ndio balaa na umeanza kutumika
 
vijana kuepo wapole MOEVT iwaondolee vijana mtaani coz grading inayofanywa ni balaa.
 
Back
Top Bottom