Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Naona kama F zitaongezeka...
Mkuu uko sahihi kabisa, wanaokosa vyeti lazima waongezeke maana hata zile Div. IV za sasa nyingi wanapata alama kati ya 21-30 sasa kama pass mark ni 35 ni dhahiri kuwa tujiandae kupokea vijana waliokaa miaka minne mashuleni baada ya hapo wanarejea kijiweni kuungana na wale waliofeli darasa la saba.