Haya madini gani na yanapatikana mikoa gani?

Amethyst

Ipo sehemu kadhaa Tanzania na inapishana viwango na rangi. Mara ya mwisho niliyaona hayo kwa mtu alyetokea huko Mbulu, Manyara. likuja na viroba kama 20 vimejaa hayo madini.
Thamani yake ipoje kama hutojali.
 
Amethyst

Ipo sehemu kadhaa Tanzania na inapishana viwango na rangi. Mara ya mwisho niliyaona hayo kwa mtu aliyetokea huko Mbulu, Manyara. likuja na viroba kama 20 vimejaa hayo madini.
Price?
 
Hayo ni madini ya Vito yalete nikuscanie ujue ni aina gani ya mwamba au chemical composition zake kwa kiasin kikubwa ni zipi? Bei ndogo tu makupimia kwa 50,000 kwa sample 1
 
Basi huku nilipo kutakua na madini mengi sana km mawe yote ni madini
Uko sahihi. Hayo yote ni madini na fursa kwako ukiamua kuichangamkia. Umekaa jirani na pesa boss.

Mfano kuna madini ya Vito (gemstones) kwa ajili ya kutengeneza jewelries kama hayo aliyoleta jamaa(sugilite), madini ya viwandani kama chokaa na gypsum, madini ujenzi kama mawe na mchanga na mengine mengi.

Hayo mawe unayosema ni mengi kwenu siku ukiamua kama una mtaji au unakopesheka utatengeneza pesa nyingi pasipokuwa na risk kubwa. Kikubwa ni kuwa na uelewa wa aina za madini na matumizi yake pia soko lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…