Haya madirisha ya chuma kwenye nyumba ya kaburi la Hayati yana kazi gani?

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Hiki chumba tu cha kaburi ni kikubwa mara mbili ya wastani wa darasa la kawaida la shule za kata.

Gharama zisizo na ulazima, ukiongeza hayo madirisha ya grilli na aluminum katika eneo ambalo lina ulinzi wa kutosha labda vioo pekeyake vingetosha lakini wabongo kama jadi yetu sikuhizi kwa unnecessary mbwembwe sijui ametuloga nani.

Tulianza na Nyerere na kale kakibanda kadogo juu ya kaburi basi kila anayefuata anamu outshine.

20231110_170109.jpg
 
Wewe kinakuuma nini au ulitaka hiyo hela ya madirisha upewe ukale na familia yako?

Mambo mengine acheni kama yalivyo imewapendeza kujenga acha wajenge mbona huongelei pesa wanazokula wastaafu kama mawaziri wakuu maraisi makatibu wakuu ma afisa wa jeshi kwanini usipigie kelele na waalimu wapate stahiki kama za hao wastaafu wa serikali kuu kwanini usiwapambanie wafanyakazi wa halinya chini.

Hilo jengo limeshajengwa halirudiwi zaidi ni marekebisho kama rangi na mambo madogo madogo.

Kwangu mimi sioni shida wameamua kumpumzisha shujaa wao sehemu waliopenda wacha wafanye muda mwingine sio hata kodi za wananchi basi tu hatuna uelewa wa hayo mambo
 
Ww kinakuuma nini au ulitaka hiyo hela ya madirisha upewe ukale na familia yako? Mambo mengine acheni kama yalivyo imewapendeza kujenga acha wajenge mbona huongelei pesa wanazokula wastaafu kama mawaziri wakuu maraisi makatibu wakuu ma afisa wa jeshi kwanini usipigie kelele na waalimu wapate stahiki kama za hao wastaafu wa serikali kuu kwanini usiwapambanie wafanyakazi wa halinya chini.

Hilo jengo limeshajengwa halirudiwi zaidi ni marekebisho kama rangi na mambo madogo madogo.
Kwangu mimi sioni shida wameamua kumpumzisha shujaa wao sehemu waliopenda wacha wafanye muda mwingine sio hata kodi za wananchi basi tu hatuna uelewa wa hayo mambo
Kila mwananchi ana haki ya kuhoji unaniulizaje kinaniuma nini? Wewe watoto wanavyokaa chini kwenye madirisha ya ayovuja haikuumi kwakuwa watoto wako wako feza. Unaabudu miungu watu hadi maiti uko radhi maiti alale ndani ya AC kuliko watoto wa maskini wapate darasa lenye madawati.
Nyinyi ndo mnafurahia sheria ya kuwalipa hadi wake wa mahayati wapuuzi nyie.

Kwa taarifa yako upumbavu wa kuabudu maiti za hayati ziko Africa tu, kama mahayati wa nchi tajiri makaburi yao yanalala nje na kupigwa na mvua na ndo wafadhili wenu usiniambie eti nyie nchi maskini ndo utamaduni wenu kuzika mahayati wenu ndani majumba yenye AC.

Nna uhakika hata Nyerere mwenyewe angeamka asingekubali mwili wake kujengewe ujinga kama huo kwanza hata siyo utamaduni wake ni upigaji tu na kujikomba kwa viongozi na kuwaabudu kama miungu watu.
 
Kufa na wewe tukutupe mto kagera uliwe na mamba.
 
Kama unalalamika kuhusu madarasa hela za uviko na tozo za miamala zilikwenda wapi. Sina uwezo wa kusomesha feza ila hujui bajeti imetoka wapi ukumbuke alikua analipwa anastahiki zake za msingi kabisa mbona huulizi walio hai kwann wanahudumiwa kila baada ya miaka kadhaa wanapewa magari yabkifahari tena mapya mtu mmoja anatembea na secretari binafsi mpishi mlinzi na dereva hizo hela wanalipwa si ufujaji tu kwann huulizi. Kuna mambo yakifanyika yamefanyikanhayajirudii tofauti na malipo wanayopata wastaafu tena yasio na ulazima fikiri kuna hajangani mtu kutembea na watu zaidi ya wanne na wanalipwa ukiangalia cha maana hakuna. Ukiwa mtu mzima utajua kelele zako hazina msaada.

Gharama ya hilo jengo na nakshi zote haizmalizi 500m ambapo hiyo hela haipunguzi chochote kwenye uhaba wa miundombinu mashuleni
 
Bora useme ww mkuu dogo ushamba umemzidi hajui kuna makaburi maalumu ya viongozi mfano malkia alizikiwa wapi anaposema huko nje ukute hatabkuvuka mpaka wa wilaya yake tu hajavuka
Sasa wewe hii ni nchi ya kifalme mkuu? Na wale wana utamaduni wao wa miaka elfu wafalme wanawatupia chini ya kanisa huko kwenye mashelfu(vault). Hakuna cha AC wala taa. Na malkia hajazikwa bado yuko kwenye vault na members wengine 25 wa royal family hadi siku watakapozikwa kwenye makaburi rasmi
-9394-1663322769.jpg
 
Bora useme ww mkuu dogo ushamba umemzidi hajui kuna makaburi maalumu ya viongozi mfano malkia alizikiwa wapi anaposema huko nje ukute hatabkuvuka mpaka wa wilaya yake tu hajavuka
Haya ndiyo makaburi rasmi ya kifalme mkuu
IMG_20231110_180330.jpg
 
Sasa wewe hii ni nchi ya kifalme mkuu? Na wale wana utamaduni wao wa miaka elfu wafalme wanawatupia chini ya kanisa huko kwenye mashelfu(vault). Hakuna cha AC wala taa. Na malkia hajazikwa bado yuko kwenye vault na members wengine 25 wa royal family hadi siku watakapozikwa kwenye makaburi rasmiView attachment 2809798
Oops
Sasa Mkuu
Hawa Bado Hawajazika Ile Waliyoisema Mfalme Na Malkia Wamezika Kaburi Moja Ila Mazishi Ya Faragha Ilikuwa Ni Uzushi Mtupu
Ama Mimi Tu Sikuelewa Haya Mambo Ya Wenzetu
 
Wakati magufuli anapelekwa shule na babu yake, kumbuka na wewe baba yako alipelekwa shule ila akajitia muhini na vipank vyake na masuruali makubwa. Alijiona yeye ndio mwamba, saivi kila familia ile ilichopanda. ACHA MAKASIRIKO
 
Hawajazikwa bado wako tu chini ya kanisa kwenye vault
 
Wakati magufuli anapelekwa shule na babu yake, kumbuka na wewe baba yako alipelekwa shule ila akajitia muhini na vipank vyake na masuruali makubwa. Alijiona yeye ndio mwamba, saivi kila familia ile ilichopanda. ACHA MAKASIRIKO
Sawa endelea kuwatukuza miungu watu wako
 
Back
Top Bottom