Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Acha ujuha wewe Kuna vitu sio vya kuhoji hata, Mzee wangu mwenyewe tumemjengea nyumba kwenye kaburi lake, kama familia tumeamua ivo na hatujamkwaza mtu, magufuli hata asingejengewa na serikali unadhani familia yake ingetaka wangeshindwa kujenga hicho kinyumba???
Sa ivi tukomae na Hawa majizi wanaoiba mabilioni Kila siku wanasema mikopo hayo ya magufuli yalishapita
Sa ivi tukomae na Hawa majizi wanaoiba mabilioni Kila siku wanasema mikopo hayo ya magufuli yalishapita