Duniani Kuna Mambo Sana Kwahiyo Wametunza Maiti Yake Kwaajili Gani Ama Wanaendelea Kumtumia Bado Hii Maana Yake Wafalme/Malkia Wote Wa Uingereza Bado HawajazikwaBado hajazikwa hapo yupo chini ya kanisa kwenye mashelfu huko.
Wewe unaweza kumjengea babako ghorofa ila kwa kiongozi wa uma ngazi ya raisi inaleta impression mbaya sana kwa taifa kwa watu wanaotutazama wanaona kama ulimbukeni wa kujikweza katikati ya lindi la umaskini hakuna tofauti na dikteta MobutuAcha ujuha wewe Kuna vitu sio vya kuhoji hata, Mzee wangu mwenyewe tumemjengea nyumba kwenye kaburi lake, kama familia tumeamua ivo na hatujamkwaza mtu, magufuli hata asingejengewa na serikali unadhani familia yake ingetaka wangeshindwa kujenga hicho kinyumba???
Sa ivi tukomae na Hawa majizi wanaoiba mabilioni Kila siku wanasema mikopo hayo ya magufuli yalishapita
Kwa akili yako unazani magu ndo msomi kuliko nchi nzima mbona saanane alihoji phd feki akapotea? Binafsi ninaelimu zaidi ya babaakoWakati magufuli anapelekwa shule na babu yake, kumbuka na wewe baba yako alipelekwa shule ila akajitia muhini na vipank vyake na masuruali makubwa. Alijiona yeye ndio mwamba, saivi kila familia ile ilichopanda. ACHA MAKASIRIKO
Hiki chumba tu cha kaburi ni kikubwa mara mbili ya wastani wa darasa la kawaida la shule za kata.
Pambania kombe lako acha ujuha haya aliyofanyiwa magufuli na wengine sio bahati ila ni mavuno ya juhudi zao kipind wako hai.Sawa endelea kuwatukuza miungu watu wako
Sikatai una vyeti kuliko baba yangu, lakini huna akili/maarifa kumzidi baba yanguKwa akili yako unazani magu ndo msomi kuliko nchi nzima mbona saanane alihoji phd feki akapotea? Binafsi ninaelimu zaidi ya babaako
Jamaa taqo bado lipo hahaaHiki chumba tu cha kaburi ni kikubwa mara mbili ya wastani wa darasa la kawaida la shule za kata.
Gharama zisizo na ulazima, ukiongeza hayo madirisha ya grilli na aluminum katika eneo ambalo lina ulinzi wa kutosha labda vioo pekeyake vingetosha lakini wabongo kama jadi yetu sikuhizi kwa unnecessary mbwembwe sijui ametuloga nani.
Tulianza na Nyerere na kale kakibanda kadogo juu ya kaburi basi kila anayefuata anamu outshine.
View attachment 2809752
Ndo maana nikasema hata serikali wasifanya hivo familia kama ingetaka ingeshindwa?? Acheni ulimbukeni wa kijuha nyinyi... Magufuli Kawa waziri zaidi ya miaka 20 afu kaja kua rais hebu acha familia wampumzishe mahali ambapo Wanaona wao anastahiliWewe unaweza kumjengea babako ghorofa ila kwa kiongozi wa uma ngazi ya raisi inaleta impression mbaya sana kwa taifa kwa watu wanaotutazama wanaona kama ulimbukeni wa kujikweza katikati ya lindi la umaskini hakuna tofauti na dikteta Mobutu