Haya mafuta ni hatari sana

Haya mafuta ni hatari sana

Masaa mbele

Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
45
Reaction score
15
Aya mafuta ni atari sana, nasikia ukipaka unakuwa mweupe sana.
04b5656ca08abb069a8ab147ebe6e92c.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi post za kipuuzi sijui mnatoa wap.
Mtu unatoa post hovyo hovyo alafu hujui kiswahili.
Atari ndio nn?
Na huna maelezo ya kueleweka.
Nyambafu
 
Mbona yapo kny list ya mafuta yaliyokatazwa kutumika hapa nchini?
Kama sikosei yanatengenezwa kinshasa,DRC.
 
Mkuu Usiwe unaandika vitu kwa namna inayokuwa vigumu msomaji kukuelewa.
 
Back
Top Bottom