Haya mafuta ya kula yanayouzwa Buguruni 4000 lita yanatoka wapi?

Haya mafuta ya kula yanayouzwa Buguruni 4000 lita yanatoka wapi?

Jana niliona Buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli

Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana
Kwani bei yake halisi kwa mafuta og ni sh.ngapi?
 
Chukua Tahadhali, Acha Hayo Makitu

Kuna Task Force Iliundwa Na Serikali Kukagua Kila Aina Ya Mafuta Na Ubora Wake Cha Ajabu Ni Kuwa Tuvumiliane Tu

Takataka Ni Nyingi Mno Hata Kule Sijui Sun Drop, Sun Flower
Hakuna Lolote
Kiufupi mafuta ya alizeti yaliyochujwa vizuri yanapaswa kuwa meupe. Utajua mwenyewe ni brand gani, maana hata makampuni makubwa mengi hawachuji vizuri
 
Hizo dumu unazoziona wanauza lita 5 pale stendi hayana kipimo sahihi ni changa la macho.
Hizo dumu ni ndogo zimebinywa na yale mafuta ukipima ni Lita 3.5 au 4.. changanya akili vizuri.
Mjini shule kumbe
 
Mkojo wenye asili ya maji waweza changanyika na mafuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sumu ya panya inayoua hadi mtu uliweza kufikiria kabla kua inaweza kutumika kama kilevi?

Dar es salaam kila kitu kinawezekana, hata kama sio mkojo ila kwa situation ya soko la mafuta kwa sasa lilivyo kwa akili ya kawaida ni ngumu sana ku imagine hayo ni mafuta halisi
 
Chukua Tahadhali, Acha Hayo Makitu

Kuna Task Force Iliundwa Na Serikali Kukagua Kila Aina Ya Mafuta Na Ubora Wake Cha Ajabu Ni Kuwa Tuvumiliane Tu

Takataka Ni Nyingi Mno Hata Kule Sijui Sun Drop, Sun Flower
Hakuna Lolote
Ilo panga likipita yatabaki korie tu
 
Sumu ya panya inayoua hadi mtu uliweza kufikiria kabla kua inaweza kutumika kama kilevi?

Dar es salaam kila kitu kinawezekana, hata kama sio mkojo ila kwa situation ya soko la mafuta kwa sasa lilivyo kwa akili ya kawaida ni ngumu sana ku imagine hayo ni mafuta halisi
Mkuu unazidi tu kunitia majaribuni ki fikira miye!

Sumu ya panya wai dilute kuifanya pombe wanywe na wastarehe kabisa!

Dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye biashara kuna mambo mengi.
Hii haina tofauti na zile tape measure za moto zinazotumiwa na baadhi ya wafanya biashara Tandika.
 
Jana niliona Buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli?

Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana.
Hayo yametoka Mtinko na Ilongero tumia hayana shida
 
Back
Top Bottom