Msishangae
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 363
- 267
Kwani bei yake halisi kwa mafuta og ni sh.ngapi?Jana niliona Buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli
Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana
Mbagala wanaweza kukuuzia hata mkojo mkuuKwani huko kwenu bei ya mafuta kwa sasa ni ngapi?!!kwani kwa sasa sehemu nyingi hiyo ndio bei yake, na mbagala hata 4000, unapata.
Sio rahisi ki hivyo!!yaani dukani kabisa mtu akuuzie mkojo?!!kama ingekuwa vichochoroni sawa!!!Mbagala wanaweza kukuuzia hata mkojo mkuu
Kiufupi mafuta ya alizeti yaliyochujwa vizuri yanapaswa kuwa meupe. Utajua mwenyewe ni brand gani, maana hata makampuni makubwa mengi hawachuji vizuri
Chukua Tahadhali, Acha Hayo Makitu
Kuna Task Force Iliundwa Na Serikali Kukagua Kila Aina Ya Mafuta Na Ubora Wake Cha Ajabu Ni Kuwa Tuvumiliane Tu
Takataka Ni Nyingi Mno Hata Kule Sijui Sun Drop, Sun Flower
Hakuna Lolote
Mjini shule kumbeHizo dumu unazoziona wanauza lita 5 pale stendi hayana kipimo sahihi ni changa la macho.
Hizo dumu ni ndogo zimebinywa na yale mafuta ukipima ni Lita 3.5 au 4.. changanya akili vizuri.
Mjini shule kumbeHizo dumu unazoziona wanauza lita 5 pale stendi hayana kipimo sahihi ni changa la macho.
Hizo dumu ni ndogo zimebinywa na yale mafuta ukipima ni Lita 3.5 au 4.. changanya akili vizuri.
Mkojo wenye asili ya maji waweza changanyika na mafuta?Wafanya biashara wa Dar sio wakuwapa dhamana kabisa, wako tayari kufanya chochote ili wapate hela.
Hapo usikute kaweka mafuta halisi ujazo wa kindude cha soda afu the rest ni mkojo.
Mnajiongezeaga tu gharama za maisha bila sababu.Kwetu lita 8000 kwa 7000 Sundrop,
Sumu ya panya inayoua hadi mtu uliweza kufikiria kabla kua inaweza kutumika kama kilevi?
Ilo panga likipita yatabaki korie tu
Chukua Tahadhali, Acha Hayo Makitu
Kuna Task Force Iliundwa Na Serikali Kukagua Kila Aina Ya Mafuta Na Ubora Wake Cha Ajabu Ni Kuwa Tuvumiliane Tu
Takataka Ni Nyingi Mno Hata Kule Sijui Sun Drop, Sun Flower
Hakuna Lolote
Mkuu unazidi tu kunitia majaribuni ki fikira miye!Sumu ya panya inayoua hadi mtu uliweza kufikiria kabla kua inaweza kutumika kama kilevi?
Dar es salaam kila kitu kinawezekana, hata kama sio mkojo ila kwa situation ya soko la mafuta kwa sasa lilivyo kwa akili ya kawaida ni ngumu sana ku imagine hayo ni mafuta halisi
Hayo yametoka Mtinko na Ilongero tumia hayana shidaJana niliona Buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli?
Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana.