Haya mafuta yana kazi gani?


Wakikujib nakuomba unimention.
 
Watu wa kanda ya ziwa punguzeni ushamba.
 
Jinsia yako ? Mwenye hayo mafuta nia yake anataka umeremete
 
Sasa akatoa haya maafuta sijui lotion akayaweka chini ya mto.

Mimi sijui yana kazi gani.nimehisi labda ni limbwata anataka kuniwekea
Kwa anaejua ni nini hiki na yana kazi gani anisaidie.

View attachment 3466974
Hayo yanatumika sehemu nyingi kwa mafano kama mto msimbazi huko kama kumepauka hivi ua mbele sehemu za simu 2000 nako hivo hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…