Haya magari ya Elon Musk ni ya Mbele ya Muda (Future)

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Bwana Elon Musk amezindua Magari yake mapya ya Cybercap na Robovan/Robobus.

Haya magari yana muonekano wa ajabu ajabu na wa kutisha lakini sio muda tutaanza kuyaona barabarani yakikatiza.

Kumbuka gari lake la Cyber Truck leo linapigana vita huko Ukraine na Urusi inasema yanapiga kazi nzuri balaa.

Hebu angalia magari mapya ya Elon Musk.
20241011_200009.jpg
20241011_200003.jpg

View: https://x.com/cb_doge/status/1844580767134839207?s=19
 
Bwana Elon Musk amezindua Magari yake mapya ya Cybercap na Robovan/Robobus.

Haya magari yana muonekano wa ajabu ajabu na wa kutisha lakini sio muda tutaanza kuyaona barabarani yakikatiza.

Kumbuka gari lake la Cyber Truck leo linapigana vita huko Ukraine na Urusi inasema yanapiga kazi nzuri balaa.

Hebu angalia magari mapya ya Elon Musk.
View attachment 3121995View attachment 3121996

Weka wasifu na uwezo wa hayo magari.
 
jamaa anataka tuishi mwaka 2200 wakati sisi ccm hatutaki kabisa mambo ya kisasa yatatuvurugia ugali wetu isee! nimemuona sana hata kwenye internet anataka alete ukuda wake, mama endelea kumkazia hivyohivyo hata haya magari piga marufuku hata picha zake zisisambazwe kabisa!
 
Watu wenye akili hao , wanatafuta majawabu na kurahisisha mambo 2027 yataanza kazi lakini kwa mwanzo amesema watu watayakodi hatoyauza
Elon ni mafia , hapo ametengeneza shauku kubwa sana ya watu kutaka kuyanunua, yakianza kuzalishwa kwa wingi watu watayakimbilia balaa. Kumbuka Cybertruck, alidokeza 2019 kila siku watu wakawa wanamuuliza yako yapi, yako wapi.

Alipoanza kuyazalisha yanakimbiliwa balaa. Urusi inayanunua kwa magendo yanaenda kupigana vita Ukraine na Warusi wanasema yanapiga kazi nzuri balaa.
 
Inakadiriwa atakua tirionea in dollars kufikia 2027 na itachukua miaka mingi watu kumfikia , wakati huo project za life in mars zinaendelea,
 
Kwenye ulimwengu wa magari ya UMEME wachina watakuwa juu zaidi ya hizi Tesla, sioni future yeyote hapa dhidi ya wachina
Watakuaje juu wakati Tesla ndio anataka awauzie teknolojia ya magari kujiendesha yenyewe. Serikali ya China imemtaka Elon Musk kuuzia hiyo teknologia kwa makampuni ya magari ya kichina ili kufanya technology transfer?

Kufanananisha tesla na magari ya kichina unaonekana kabisa hujui chochote kuhusu magari ya umeme ama umejawa na chuki tu dhidi ya product za Marekani.
 
Safi sana ,kwani Autopilot si ndiyo hiyo hiyo anayotumia Elon kwenye magari yake hayo.

Tena hayo yanakuwa more effective kuliko binadamu maana yana sensors and AI kama zote.
 
Back
Top Bottom