Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Wazungu wanaigiza kitu leo kwenye sci-fi movie wanakuja kuunda kama kile miaka 30 baadae.
Gari kama hii Robovan, technology ya driverless(robot driven) na muonekano wake iliigizwa kwenye filamu ya Total Recall (1990) ya Anold Schwarzenegger enzi hizo member wengi wa JF wakiwa watoto au hawajazaliwa.