The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Weka wasifu na uwezo wa hayo magari.Bwana Elon Musk amezindua Magari yake mapya ya Cybercap na Robovan/Robobus.
Haya magari yana muonekano wa ajabu ajabu na wa kutisha lakini sio muda tutaanza kuyaona barabarani yakikatiza.
Kumbuka gari lake la Cyber Truck leo linapigana vita huko Ukraine na Urusi inasema yanapiga kazi nzuri balaa.
Hebu angalia magari mapya ya Elon Musk.
View attachment 3121995View attachment 3121996
View: https://x.com/cb_doge/status/1844580767134839207?s=19
jamaa anataka tuishi mwaka 2200 wakati sisi ccm hatutaki kabisa mambo ya kisasa yatatuvurugia ugali wetu isee! nimemuona sana hata kwenye internet anataka alete ukuda wake, mama endelea kumkazia hivyohivyo hata haya magari piga marufuku hata picha zake zisisambazwe kabisa!Bwana Elon Musk amezindua Magari yake mapya ya Cybercap na Robovan/Robobus.
Haya magari yana muonekano wa ajabu ajabu na wa kutisha lakini sio muda tutaanza kuyaona barabarani yakikatiza.
Kumbuka gari lake la Cyber Truck leo linapigana vita huko Ukraine na Urusi inasema yanapiga kazi nzuri balaa.
Hebu angalia magari mapya ya Elon Musk.
View attachment 3121995View attachment 3121996
View: https://x.com/cb_doge/status/1844580767134839207?s=19
Elon ni mafia , hapo ametengeneza shauku kubwa sana ya watu kutaka kuyanunua, yakianza kuzalishwa kwa wingi watu watayakimbilia balaa. Kumbuka Cybertruck, alidokeza 2019 kila siku watu wakawa wanamuuliza yako yapi, yako wapi.Watu wenye akili hao , wanatafuta majawabu na kurahisisha mambo 2027 yataanza kazi lakini kwa mwanzo amesema watu watayakodi hatoyauza
Inakadiriwa atakua tirionea in dollars kufikia 2027 na itachukua miaka mingi watu kumfikia , wakati huo project za life in mars zinaendelea,Elon ni mafia , hapo ametengeneza shauku kubwa sana ya watu kutaka kuyanunua, yakianza kuzalishwa kwa wingi watu watayakimbilia balaa. Kumbuka Cybertruck, alidokeza 2019 kila siku watu wakawa wanamuuliza yako yapi, yako wapi.
Alipoanza kuyazalisha yanakimbiliwa balaa. Urusi inayanunua kwa magendo yanaenda kupigana vita Ukraine na Warusi wanasema yanapiga kazi nzuri balaa.
Hii haitawezekanaKarne zijazo huko mbeleni ili upate usingizi utakuwa unalipia kama vocha au luku.salio likiisha usingizi unakata,kama hajalipia hulali.
Au mnaonaje wakuu ni kweli au nawapiga fix?
dizaini za kuzimuni hizi.Hope yatafanya poa but hayavutii kwa upande wangu
Watakuaje juu wakati Tesla ndio anataka awauzie teknolojia ya magari kujiendesha yenyewe. Serikali ya China imemtaka Elon Musk kuuzia hiyo teknologia kwa makampuni ya magari ya kichina ili kufanya technology transfer?Kwenye ulimwengu wa magari ya UMEME wachina watakuwa juu zaidi ya hizi Tesla, sioni future yeyote hapa dhidi ya wachina
Achana na ngonjera za kijinga za nyakati za mwisho, hakuna kitu kama hicho cha nyakati za mwisho. Hizo ni hadithi kama za sungura na fisi hazina maana yoyote.dizaini za kuzimuni hizi.
nyakati za mwisho maarifa ya wengi yataongezeka