Maneno kuntyu hayo! Mwenye pesa haihitaji ramli kumjua!!Pesa ni kama busha ukiwa nayo itaonekana tu, kama si kwa matumizi basi thamani ya vitu unavyomiliki itatuambia.
Hilo nalo nenoManeno kuntyu hayo! Mwenye pesa haihitaji ramli kumjua!!
Na unaweza kukuta wanapiga copy nyingi kuliko magazeti ya maana.Udaku sijui una nguvu gani!Gazeti linaitwa wembe...