Haya magazeti: Eti Alikiba amzidi Diamond kwa utajiri!!

Haya magazeti: Eti Alikiba amzidi Diamond kwa utajiri!!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Hawa watu huwa wanatumia vigezo gani kuja na hizi habari?
Mi nauona kama mwendelezo wa team ambazo zilishaanza kufifia!
1471501583075.jpg
 
Kwa mujibu wa utafiti wangu Ally K 4real anautajili mkubwa kuliko bwana Nasseeb....kujua majibu ya utafiti zingine njoo pm
 
Gari ya ml 700..akilipia na kodi si haba ikakaribia ml 900,kweli Ali kibaaaaaa ni noma.
 
Jina tu la gazeti lenyewe kituko.hili gazeti haliuzwi bila dangote habari zake n family yake
 
Maisha ya kuigiza na show off huwatesa sana hawa vijana na ndio maana wakianguka huwa wanachoka na kupauka kweli kweli mtaani.
 
Back
Top Bottom