Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LA kichonganishi km tundu lussu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Gazeti linaitwa wembe...
Jay Z anajulikana zaidi ya mabillionare kibao . Ogopa nguvu ya muziki hata shetani alikuwa mwanamuziki mbinguni kabla k uasiWenye pesa Tanzania wako kimya wanapiga kazi tu wala huwaoni kwenye magazeti.
Wangeandika Diamond amzidi utajiri Alikiba isingeuza maana its obvious, Hiyo ni sawa na kusema Simba kamla binadam thats obvious, ila Binadam Kamla Simba hiyo ndo habari inayoweza kuuza zaidi. Kwahiyo hongeramwandishi kwa ubunifu