Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,751
Habari wanajamvi?
Tumepoteza ndugu, jamaa na marafiki kutokana na magonjwa ila mbaya zaidi unakuta magojwa fulani yanawandama zaidi tabaka fulani.
Kuna huu ugonjwa wa figo na kifua haya magonjwa yanaonekana kuwasumbua sana matajiri na wasanii. Matajiri wengi wamekufa kwa tatizo la figo na wasanii wengi wamefariki kwa kifua.
Sasa najiuliza labda harufu ya mihela ile waliyonayo matajiri labda inaharibu figo? Au wasanii kuokakana na vumbi jukwaani na mda mwingi wanaongea ngea labda ndiko kunakowasabibishia kifua? Imefika mda hadi mtu unaogopa kuwa tajiri. Jamani wadau kwanini magonjwa haya yanathiri zaidi tabaka hizi?