min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mbona matamu tu?Siyapendii 😅labda Nile tu kwa sifa nikiwa zangu huko mahotelini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona matamu tu?Siyapendii 😅labda Nile tu kwa sifa nikiwa zangu huko mahotelini
Inategemea na eneo mkuu, hata bongo frozen pizza 🍕 ni chakula cha kitajiri .Dagaa ni dagaa tu mkuu, wawe mchele au wasiwe mchele ni dagaa tu.
utaharibu ladha, yanataka nyama, huwekwa kwenye mchemsho wenye karoti, hoho na ngongweHayafai kuchanganya na dagaa?
Mkuu, dagaa zikaushwe mix nyanya chungu, bamia kidogo, upate na mboga za majani, pilipili na glass ya maziwa mtindi ni chakula cha kitajiri kabisa. Kaugali kawe kadogo.Dagaa ni chakula cha kimasikini japo zinahitaji pesa kununua.
Bei ndo hizo hizo mkuu.Duh hayo yanahitaji pesa gani sasa? Arusha ukienda sokoni na hiyo buku unapata yakutosha.
Labda kama ni bei ghali kanda nyingine.
Capital, bolded, underlined, highlighted and italic
hayo yanataka vitu vizur vizuri mfano nyama ya kuku, ng'ombe, mbuzi, kitimoto lost nadhani sio mbaya ukiya chagiza humo...Hayafai kuchanganya na dagaa?
Kama kuna kitu inaitwa "broccoli" sijawahi kuielewa kabisaWaswahili tumezoea milo yetu si kwamba kubadilisha milo ni gharama. Kuna vitu vingine hatuli kwa sababu hatuvipendi wala si gharama au havina ladha nzuri midomoni mwetu.
Wataalam wanasema huo mchanganyiko ulioutaja hapo haviendani.Mkuu, dagaa zikaushwe mix nyanya chungu, bamia kidogo, upate na mboga za majani, pilipili na glass ya maziwa mtindi ni chakula cha kitajiri kabisa. Kaugali kawe kadogo.
Wataalam gani mkuu, mbona sijawahi wasikia?Wataalam wanasema huo mchanganyiko ulioutaja hapo haviendani.
Ila hata mimi sijawahi kuwaunga mkono maana hakuna madhara yeyote nliyowahi kupata nikila huo mchanganyiko
Ova
Kilo moja buku 6 bei ya leo Temeke Stereo!!Ni nadra sana kukuta yamepikwa kwenye familia za kawaida au kwa mama ntilie.
Same mkuu sijawahi elewa hiki kituKama kuna kitu inaitwa "broccoli" sijawahi kuielewa kabisa
Oya kila siku naenda kilombero mbona sijawahi kuona embu nielekeze mkuu 😂😂Kama una buku njoo na fuso kuna sehemu Arusha nakuelekeza unaondoka na fuso imejaa
Sana Yaani Yamejaa ChekwaaHuko moshi masokoni buku unajaziwa fuko la rambo bwashee.
hiyo ndo huwa sielewi kabisa.. niliwahi taste siku daah sijui watu wengin wanaipendea niniKama kuna kitu inaitwa "broccoli" sijawahi kuielewa kabisa