Mzuka wanajamvi!
Shirikisho la mpira duniani tarehe 2 December 2010 kupitia rais wake wakati huo Sepp Blatter walitangaza taifa dogo tajiri la uarabuni kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022.
Yani kumbuka hiyo 2010 nikawa najiuliza 2022 mbona mbali jamani wakati ndo mgeni mgeni kwenye Facebook namiliki laptop nikaposti jamani tutafika?
Kwaanzia kipindi hicho mambo yamebadilika sana. Kulikuwa hamna WhatsApp ikaja baadaye kubamba nadhani 2012 na viber. Kanumba alituacha.
Kombe la dunia brazil likaja nakupita kama mchezo. Olympics Brazilia ikaja ikatupita kama mchezo.
Kombe la dunia urusi nalo likaja likatupita.
Mbwembwe za corona nazo na malockdown.
Hatimaye Qatar 2022 iliwadia na ikapita.
Ni hivi 2010 nilisema tutafika Qatar 2022? Angalia sasa tulifika na ikapita leo nakaa nakutafakari yani imepita tena na miaka miwili mbele.
Miaka 14 imekatika hivihivi kimchezo.
Sasa nasubiria Saudi Arabia kutangazwa 2034. Je napo tutafika?
Haya maisha jamani.
Mungu leta amani mashariki ya kati na popote pale penye vita. Wakumbuke watoto na wanawake na vulnerable.