Haya maisha ya namba gani?!

Haya maisha ya namba gani?!

Muache aishi maisha aliyojichagulia kwa sasa,

Huyo atakuja kukupita kimaisha mpaka utakuja kushangaa.
Usimpe Ndoto za mchana mkuu,haipo hiyo katoka History kwa kuishi hivi halafu utoboe!Haipo Hakika.
 
Hana hela huyo ndugu yako, ila tu huwa anapata hela. Kuwa na hela ya kuwa na sehemu yako ya kuishi, kuna maana ya kuwa na hela ya kulipa kodi kuanzia miezi mitatu au sita, na kuweza kuwa na hela ya kuweka vitu wakati mmoja katika makazi hayo, na pia kubaki na hela ya kula na shughuli zingine. Meaning kwa maelezo yako, jamaa yako kama ana make kiasi kwamba hutaki adande kwa watu, roughly asikose 1-2 ml excess kwenye hela zake anazohifadhi
 
Back
Top Bottom