Haya maisha yana mambo mengi

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Niko Dodoma hapa mshikaji kaniita kwa kibar fulani kipo kina guest eeeh bhna eeh nikamwona mwigizaji wa bongo movie hapa ila ni wale wa kale kidogo kapauka hapa anakata viuno nikamtia beer 2 akaanza kuropoka alikua na kina AY.

Ngwea na kina Mr Blue Yaani na utelezi alitaka kunipa mshikaji niliyekua nae akanitoa hapo mbio mbio akidai natafuta ngoma
 
Fungua code yke tumjue maana wanajisahaugii sn
 
Kumbe alikuwa kalewa?Usiwachukulie u-serious sana watu ambao tayari wameutwika mvinyo.Ingawa,kuna msemo ya kwamba ..."KWENYE POMBE KUNA UKWELI"...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…