Haya majamaa yatatuzika kabisa game ya mzunguko wa pili

Haya majamaa yatatuzika kabisa game ya mzunguko wa pili

Kiukweli hawa watu wanatimu bwana, niseme wazi game ya mzunguko wa pili ya watani, sisi SIMBA yaani dakika 90 tutaziona kama mwaka, yaani hazitimii.

Pamoja na kuchukizwa na matokeo ya leo, ila nasema timu pekee inayoweza kuwapa tabu hawa Yanga labda Mamelod pekee, na Al Ahly asipochunga game ya mwisho anaweza akalowa palepale Cairo.

Hongera Yanga.
Hongera injinia Hersi.
Hongera mashabiki wa Yanga, japo roho inaniuma kuona sisi SIMBA tunaendelea kuokoteza mizigo ya wachezi tangu kusepa kwa Hanspope, sioni kiongozi kwetu mwenye nia ya kuipeleka timu kwenye kilele cha furaha kama ilivyo kwa injinia Hersi!

Hawa watu wakiamua wanaweza kutupiga hata 7-0 nipo hapa njooni mnitukane washabiki hobhelahobhela.
Mchezo wa awali maholi yale yalifungwa kuanzia dk ya 76.Mechi ilikua droo. Kuna jambo lilitokea.

Nb:Mechi ya watani siyo mechi ya Beluzidad.

Pengine huujui mpira na kwa sababu ni Utopolo unajifanya Simba.

Haitotokea Yanga imfunge simba goli 5 mara mbili kwa msimu mmoja.

Hilo hutokea baada ya muda mrefu sana.Hii si mechi ya Sigida na simba.

Simba 5-0 Yanga ilikua mwaka 2012
 
Najua shabiki kitumbua utasema mie uto, ila kwa mpira walioucheza hawa jamaa, na kwa simba yetu hii? ngoja tuone.
 
Wanaita Kibegi[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti creativity 😂😂😂.Yan team ikiingiliwa na waswahili shida tupu.Sijui kama kuna scouting pale msimbazi,sajir za hiv karibuni zilizofanya vizur ni moja tu chemalone basi hizo zingine ni za kitapeli.
 
Back
Top Bottom