Haya majamaa yatatuzika kabisa game ya mzunguko wa pili

Mchezo wa awali maholi yale yalifungwa kuanzia dk ya 76.Mechi ilikua droo. Kuna jambo lilitokea.

Nb:Mechi ya watani siyo mechi ya Beluzidad.

Pengine huujui mpira na kwa sababu ni Utopolo unajifanya Simba.

Haitotokea Yanga imfunge simba goli 5 mara mbili kwa msimu mmoja.

Hilo hutokea baada ya muda mrefu sana.Hii si mechi ya Sigida na simba.

Simba 5-0 Yanga ilikua mwaka 2012
 
Najua shabiki kitumbua utasema mie uto, ila kwa mpira walioucheza hawa jamaa, na kwa simba yetu hii? ngoja tuone.
 
Wanaita Kibegi[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti creativity πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.Yan team ikiingiliwa na waswahili shida tupu.Sijui kama kuna scouting pale msimbazi,sajir za hiv karibuni zilizofanya vizur ni moja tu chemalone basi hizo zingine ni za kitapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…