Haya majedwari yako wazi, Simba mnaweza kuyatumia

Haya majedwari yako wazi, Simba mnaweza kuyatumia

Joined
Apr 27, 2023
Posts
49
Reaction score
130
Baada ya kuona Hawa ndugu zetu Wana hangaika sana kutuonesha rekodi za makombe kupitia majedwari, nimeonelea niwaandalie majedwari yaliyo wazi Ili watujazie taarifa zao za kihistoria na mafanikio yao yasiyo na shaka kuanzia kubeba kombe la afrika enzi za mkoloni hadi sasa
original-7865505-2.jpg
8e798dbfa8a6396ee586474622ffa937.jpg
5940737c-bc8d-4a86-bad2-faae07b915a3.jpg
 
Nimecheka sana😂😂Hadi rekodi za mwaka 1936 zitawekwa watakwambia walishinda kombe la malkia wa Uingereza waliifunga Manchester United fainali pale Rhodesia(Zimbabwe)
 
Nimecheka sana😂😂Hadi rekodi za mwaka 1936 zitawekwa watakwambia walishinda kombe la malkia wa Uingereza waliifunga Manchester United fainali pale Rhodesia(Zimbabwe)
mbona haichekeshi !?
 
Back
Top Bottom