Weka picha vinginevyo ni porojo tu.Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani.
Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa.
Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya mji (angalia viwanja vilivyotumika katika AFCON kule Morocco) wanahakikisha wanamaitain uwazi katika mandhari ya eneo linalozunguka uwanja kwa kutokuwa na ujenzi wowote holela au wa hata majengo marefu.
Ukiangalia mandhari ya nje ya uwanja wa Mkapa haivutii na yanatia aibu kwa sababu kuna vibanda vingi vilivyojengwa holela.
Nawaza, waliotengeneza ramani hii wanataka kutuambia kuwa vibanda vitakavyokuja kuchipuka baadae kuzunguka eneo zima la uwanja ni sehemu ya mandhari wanayokusudia iwepo kuzunguka uwanja ili "kupendezesha" au wameamua kuwa wakweli kwamba watanzania ndiyo asili yetu hiyo na hilo halitaweza kuzuilika? Inafikirisha sana.
Haelewi jinsi CCM mnavyowekeza kwenye uchumi wa vibanda...Yaanashiria Ujenzi
CCM ni ni chama cha wapenda vibanda. Hapo hivyo vibanda washagawana vyote.Picha muhimu View attachment 3542393
Pembeni ni vibanda umiza mkuu!
Haelewi jinsi CCM mnavyowekeza kwenye uchumi wa vibanda...
Picha muhimu View attachment 3542393
Pembeni ni vibanda umiza mkuu!
Nivibanda vya wamachinga watakaoenda kujazana baada ya afcon kuanza
CCM ni ni chama cha wapenda vibanda. Hapo hivyo vibanda washagawana vyote.
Wenyewe watakwambia hivyo vibanda vinaashiria mji umechangamka
MIRADI YA WANAOJIITA WENYE NCHI YAO,,WANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI....
Kwa hiyo tuangalie maelezo yakoUkiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani.
Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa.
Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya mji (angalia viwanja vilivyotumika katika AFCON kule Morocco) wanahakikisha wanamaitain uwazi katika mandhari ya eneo linalozunguka uwanja kwa kutokuwa na ujenzi wowote holela au wa hata majengo marefu.
Ukiangalia mandhari ya nje ya uwanja wa Mkapa haivutii na yanatia aibu kwa sababu kuna vibanda vingi vilivyojengwa holela.
Nawaza, waliotengeneza ramani hii wanataka kutuambia kuwa vibanda vitakavyokuja kuchipuka baadae kuzunguka eneo zima la uwanja ni sehemu ya mandhari wanayokusudia iwepo kuzunguka uwanja ili "kupendezesha" au wameamua kuwa wakweli kwamba watanzania ndiyo asili yetu hiyo na hilo halitaweza kuzuilika? Inafikirisha sana.
Kabisa... CCM na unadhifu ni mambo mawili tofauti kabisa.Wenyewe watakwambia hivyo vibanda vinaashiria mji umechangamka
Kama itawezekana eneo hilo kuwa kama hii picha basi patakuwa pazuri sana. Hivi bado muda gani hayo mashindano yaanze?Picha muhimu View attachment 3542393
Pembeni ni vibanda umiza mkuu!
Tutamuomba marekani msaada amalizie kujenga hivyo viboksiUkiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani.
Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa.
Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya mji (angalia viwanja vilivyotumika katika AFCON kule Morocco) wanahakikisha wanamaitain uwazi katika mandhari ya eneo linalozunguka uwanja kwa kutokuwa na ujenzi wowote holela au wa hata majengo marefu.
Ukiangalia mandhari ya nje ya uwanja wa Mkapa haivutii na yanatia aibu kwa sababu kuna vibanda vingi vilivyojengwa holela.
Nawaza, waliotengeneza ramani hii wanataka kutuambia kuwa vibanda vitakavyokuja kuchipuka baadae kuzunguka eneo zima la uwanja ni sehemu ya mandhari wanayokusudia iwepo kuzunguka uwanja ili "kupendezesha" au wameamua kuwa wakweli kwamba watanzania ndiyo asili yetu hiyo na hilo halitaweza kuzuilika? Inafikirisha sana.
Nchi imejaa vibanda, hakuna utaratibu kila kitu kimejengwa ovyo. Chama kimeshika hatamu, jenga kila mahali hata mbele ya ikulu. Hayo maboksi hapo ni ujinga wa akili yao mbovu.Picha muhimu View attachment 3542393
Pembeni ni vibanda umiza mkuu!
Mashindano yanaanza mwakani mkuu, 2027 June/July kama sijakoseaKama itawezekana eneo hilo kuwa kama hii picha basi patakuwa pazuri sana. Hivi bado muda gani hayo mashindano yaanze?