Haya majengo katika ramani ya uwanja mpya wa Arusha yanaashiria nini?

Hizo hela za kujenga uwanja mpya bora wangekarabati viwanja vilivyopo kma kirumba, sheikh amri abed, sokoene,, mkwamkwani kwa kuweka viti, kapeti la majani, majukwaa pamoja na vyoo. Afcon ingechezeka bila shida.. πŸ™
Watu wanataka waweke majina yao ili eti wakumbukwe. Wewe hauoni jinsi wanavyouua uwanja wa Mkapa? Unadhani angekuwa hai ukarabati ungekuwa unasuasua hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…