Haya majina ya JF ifike mahala tuwe tunabadilisha

sio miss Nedy huyo au huyu mchaga wa mkuranga?
 
Swali zuri. Huenda hana mume, kwa hiyo hawezi kujiita Mrs., hata kama ni mzee

Acha tuendelee kuelimishwa na mimi naongezea ka swali kanyongeza hapo, wale wanaoandika Ms hua inamaanisha nini? Shukrani
 
INAWEZEKANA YEYE BADO NI MISS HATA KAMA UMRI UMEKWENDA
 
Acha tuendelee kuelimishwa na mimi naongezea ka swali kanyongeza hapo, wale wanaoandika Ms hua inamaanisha nini? Shukrani
Ndio hiyo hiyo Miss, inakuwa imekatishwa tu, kama ilivyo kwa mister (Mr.)
 
Ndio hiyo hiyo Miss, inakuwa imekatishwa tu, kama ilivyo kwa mister (Mr.)

Usinichoke mkuu, mbona kuna watu wameolewa na umri umeenda tu ila wanatumia au kuandikwa Ms? Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…