miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
hata msemeje sibadiliCC Miss chagga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata msemeje sibadiliCC Miss chagga
Swali zuri. Huenda hana mume, kwa hiyo hawezi kujiita Mrs., hata kama ni mzeeKwani akijiita miss inakudhuru nini???
Swali zuri. Huenda hana mume, kwa hiyo hawezi kujiita Mrs., hata kama ni mzee
Ndio hiyo hiyo Miss, inakuwa imekatishwa tu, kama ilivyo kwa mister (Mr.)Acha tuendelee kuelimishwa na mimi naongezea ka swali kanyongeza hapo, wale wanaoandika Ms hua inamaanisha nini? Shukrani
Ndio hiyo hiyo Miss, inakuwa imekatishwa tu, kama ilivyo kwa mister (Mr.)
Uliniangusha Mpnz.. Though I miss youmzima sana aisee ,, naona jamaa anachungulia smartphone za watu mie hata nikiwa kibibi natumia miss hivi hivi wajichanganye niwalie vipesa vyao
MISS U TOO POLE BWANAAUliniangusha Mpnz.. Though I miss you
Aanha.. Fanya Kweli basi mpnzMISS U TOO POLE BWANAA
Tumuombe tu mungu isijekuwa figsufigsuhuyo hapana maana hata ka profile kake kanaonesha ni kabinti aisee
ccPretta