Haya majina ya JF ifike mahala tuwe tunabadilisha

hakuna ubaya mkuu kwani wewe utaishi amboni milele au ukihama na wewe uta update?😕
Hahaha siwezi kuishi amboni milele ila ungetaka kujua asili ya jina hilo ningekwambia na halitokani na amboni ya tanga.
 
Teh teh..Basi ngoja nijiongeze mana kuufikia moyo uliopitia depo si kazi ndogo
Ha ha ha! Mbele ya shoka hakuna mbuyu mkubwa zote piritoni! Naogopa tuu kale kamsemo ndege mjanja na tundu bovu!
 
Haaa! Unajua maji mafupi ndio yanayozamisha watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…