Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,535
- 1,562
Ha ha ha hapa nina kibuti cha moto moto nimetoa japo kishingo upande!Basi ukiolewa naomba uweke Mrs kutualert vijana tupunguze usumbufu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha hapa nina kibuti cha moto moto nimetoa japo kishingo upande!Basi ukiolewa naomba uweke Mrs kutualert vijana tupunguze usumbufu
Teh teh..Kwann sasa..Acha kuidhulumu nafsi..Hivi mi na we bado wapenzi au tumeshaachana?Ha ha ha hapa nina kibuti cha moto moto nimetoa japo kishingo upande!
TufiakwaaaaaaaaTeh teh..Kwann sasa..Acha kuidhulumu nafsi..Hivi mi na we bado wapenzi au tumeshaachana?
Teh teh..Douta embu acha fujo..Ukimkuta daddy Faragha unapita kimyaTufiakwaaaaaaaa
Teh ngoja nimuite ma mdogo, unalijua timbwili lakeTeh teh..Douta embu acha fujo..Ukimkuta daddy Faragha unapita kimya
Unaitafuta laana we mttTeh ngoja nimuite ma mdogo, unalijua timbwili lake
Mmh laana ya hivyo hata hainipatiUnaitafuta laana we mtt
Basi mtt mzuri..Hii siri yakoMmh laana ya hivyo hata hainipati
Bado una exist kichwani ongeza silaha ufike moyoni...Teh teh..Kwann sasa..Acha kuidhulumu nafsi..Hivi mi na we bado wapenzi au tumeshaachana?
Teh teh..Basi ngoja nijiongeze mana kuufikia moyo uliopitia depo si kazi ndogoBado una exist kichwani ongeza silaha ufike moyoni...
Hahaha siwezi kuishi amboni milele ila ungetaka kujua asili ya jina hilo ningekwambia na halitokani na amboni ya tanga.hakuna ubaya mkuu kwani wewe utaishi amboni milele au ukihama na wewe uta update?😕
Kuwa makini unapo ita usiowajua utaliwa 0713 shauri lakohalooooo! bidada weh! njoo ule vyombo club lamambo tabata 0757430913
Ha ha ha! Mbele ya shoka hakuna mbuyu mkubwa zote piritoni! Naogopa tuu kale kamsemo ndege mjanja na tundu bovu!Teh teh..Basi ngoja nijiongeze mana kuufikia moyo uliopitia depo si kazi ndogo
Teh teh..Uoga wako ndo umaskini wako...Jiamani bana..Hili sio tundu bovuHa ha ha! Mbele ya shoka hakuna mbuyu mkubwa zote piritoni! Naogopa tuu kale kamsemo ndege mjanja na tundu bovu!
Zima eeeh! Ntakaribia huku nikiapply msemo wa wahenga DONT TEST THE DEPTH OF WATER WITH BOTH TWO LEGS"!Teh teh..Uoga wako ndo umaskini wako...Jiamani bana..Hili sio tundu bovu
The good thing is,you are a good swimmer..There's nothing to worry aboutZima eeeh! Ntakaribia huku nikiapply msemo wa wahenga DONT TEST THE DEPTH OF WATER WITH BOTH TWO LEGS"!
Teh teh....@missyrose dongo lako hili
miss neddy nina salamu zako. Afu atoto hilo jina update tu to "Azee" au "Abibi"
nahisi bado hajaona asee😕Nawe kaboom ina maana gani?