Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 990
CRDB BANK
Nimepata account pdf file ikionyesha Statement ya account yangu; Pesa sionyeshi maana ni saving na ina pesa kidogo Akina Riz1 na wenzake watanicheka.
Ninachotaka kuonyesha ni Makato yafuatayo;
Processing fee..............................600
Withdrawal fee..............................600
Service fee.................................1000
Monthly maintenance charge..........1000
nakadhalika nakadhalika nakadhalika nakadhalika nakadhalika
Haiwezekani kuona kwamba hapo mmenitoa pesa ya sukari na vitunguu...mwezi huu tena mama Ngina hawezi kuunga mboga wala kuweka chai mezani? Huu nao wizi nasema wizi kwa sababu kila mwezi wanakata na pia riba hawatasahau.