Haya makato nayo ni wizi mchana kweupe

Haya makato nayo ni wizi mchana kweupe

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
3,216
Reaction score
990
CRDB BANK

Nimepata account pdf file ikionyesha Statement ya account yangu; Pesa sionyeshi maana ni saving na ina pesa kidogo Akina Riz1 na wenzake watanicheka.

Ninachotaka kuonyesha ni Makato yafuatayo;

Processing fee..............................600
Withdrawal fee..............................600
Service fee.................................1000
Monthly maintenance charge..........1000

nakadhalika nakadhalika nakadhalika nakadhalika nakadhalika

Haiwezekani kuona kwamba hapo mmenitoa pesa ya sukari na vitunguu...mwezi huu tena mama Ngina hawezi kuunga mboga wala kuweka chai mezani? Huu nao wizi nasema wizi kwa sababu kila mwezi wanakata na pia riba hawatasahau.
 
Hivi Nani anajua makato ya exim na standard charted?hao crdb nilishawasusia acount yao,maana makato yamezidi.
 
CRDB BANK

Nimepata account pdf file ikionyesha Statement ya account yangu; Pesa sionyeshi maana ni saving na ina pesa kidogo Akina Riz1 na wenzake watanicheka.

Ninachotaka kuonyesha ni Makato yafuatayo;

Processing fee..............................600
Withdrawal fee..............................600
Service fee.................................1000
Monthly maintenance charge..........1000

nakadhalika nakadhalika nakadhalika nakadhalika nakadhalika

Haiwezekani kuona kwamba hapo mmenitoa pesa ya sukari na vitunguu...mwezi huu tena mama Ngina hawezi kuunga mboga wala kuweka chai mezani? Huu nao wizi nasema wizi kwa sababu kila mwezi wanakata na pia riba hawatasahau.

Inaonyehsa unapenda vya bure ambapo kwa sasa vimekufa.
baenki inagharama ambazo lazima zifidiwe
na mteja
 
Hivi bank unaweka hela ili upate riba au ukatwe?i wonder hizi bank zetu za tanzania,unaweka alot of money
matokeo yake wanakuwa wanakulima every month,hawawezi kujisahau kukuwekea ka interest hata siku mija mweee
 
Kuweka kwenye kibuyu nako kugumu.....tukiwapelekea pia wanatulima bila huruma
 
ndo maana hela yangu nahifadhi kwenye kibubu crdb wana makato balaa
 
Nimeona kisanduku cha chuma wanakiita ''safe'' nakilia timing labda mwakani nitakichukua niweke home....wezi sina hofu nao huwa hawauoni mlango wa nyumba yangu, tatizo ni housegirl wa sasa akishakula deal na husband atapata hata code ya kisanduku
 
Huo nao ni mtihani mwingine maana sisi tukinogewa tunakuwa wajinga kabisa mpaka tunapolizwa ndipo tunapo zinduka
 
Back
Top Bottom