Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

Wachaaa weee [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Umesahau daz nundaz dah kwel mziki ulikua mziki
 
Kwenye EAST COAST TEAM:
muongezee O-ten mzee wa oya nicheki nivavong'araaa
 
Aisee ile pini kali sana. Popote kambi babuu weka maskani.

Nilikutana na Inspector Haroun sikumoja hapo Ubungo darajani kabla hawajaanza kujenga ilo flyover. Dah. Nilisikitika sana.
Huyu bro kuna kipindi alipigika sana, nilishawahi kukutana nae karikoo kavaa ndala alafu hana Habari yani ila sasa hivi naona angalau.
 
NUTA Jazz
Kilwa Jazz
Tabora Jazz
Dar International
Safari trippers
Moro Jazz

Kwa sisi wahenga, nimeona msamiati WAHENGA umetumika pasipo mahala pake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…