Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

Mimi nina upara
pamba za zakiem mbagala
Nipo na mamaa wote tunang'aa
Anadai mkononi na chupa ya chang'aa
Aliyekuja na ngedere amtoe out
Kwani humu ndani anazua varangati
marekebisho kidogo sister,

Mimi nimeupara/ pamba za KTM Mbagala/
nipo na mamaa wote tunang'aa/
Hamaguy mkononi na chupa ya chang'aa.

huyu Hamaguy Ni memba kaimba verse ya mwisho kweny huo wimbo.
 
marekebisho kidogo sister,

Mimi nimeupara/ pamba za KTM Mbagala/
nipo na mamaa wote tunang'aa/
Hamaguy mkononi na chupa ya chang'aa.

huyu Hamaguy Ni memba kaimba verse ya mwisho kweny huo wimbo.
Asante nimeandika nilivyokuwa naimba enzi hizo si unajua sometime hata husikii vizuri na sijawahi kufuatilia usahihi upoje[emoji16][emoji16]
 
Hao wasanii wote wajuzi tu mnaowataja bongo flavor wenyewe kama akina saigon mzee wa kalinye hamjamtaja, dola solo(dullah soul) mzee wa balozi bado nipo sijui kama jina halisi hujamtaja, huyo nature kabla tmk alikuwa nature wa jinsi kijana ft majani, enzi hizoo hatari sana

Bifu la zey b na sister pi na mwana FA ingekuwa vipiii
 
"Nipooze moyo mama nimechanganyikiwa na penzi lako la maana,
Mapenzi si ugomvi,mapenzi si uhasama
Nipe penzi nikupe sjui nini ni salama.......
Hivi uyu alikuwa mr 2 eti? Iyo nyimbo nlikuwaga naikubali sjui kwann
Professor jay - mamsup
 
Hao wasanii wote wajuzi tu mnaowataja bongo flavor wenyewe kama akina saigon mzee wa kalinye hamjamtaja, dola solo(dullah soul) mzee wa balozi bado nipo sijui kama jina halisi hujamtaja, huyo nature kabla tmk alikuwa nature wa jinsi kijana ft majani, enzi hizoo hatari sana

Bifu la zey b na sister pi na mwana FA ingekuwa vipiii
Diplomatz, wagumu weusi asilia,sosy b
Enzi hizo ukienda donbosco kusaga anakuja anafanya udj akiwa na bony pembeni kuna mhamasishaji taji liundi
Zamani vijana walikuwa wanajipanga bana

Ova
 
Back
Top Bottom