Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

Diplomatz, wagumu weusi asilia,sosy b
Enzi hizo ukienda donbosco kusaga anakuja anafanya udj akiwa na bony pembeni kuna mhamasishaji taji liundi
Zamani vijana walikuwa wanajipanga bana

Ova
Kim and the boyz (rankim )huku choggysly kule kalikali mji uliwaka moto.
 
Kim and the boyz (rankim )huku choggysly kule kalikali mji uliwaka moto.
Kim& the Boyz wao ndiyo walikuwa wanaanda matamasha ...mambo yalikuwa
Safi huko pool side na ma beach party
Sahvi wasani sijawahi kuwasikia wakija na idea ya kufanya beach party
Wao kazi kuzunguka mikoani na kufanya mashow ya kwenye maviwanja

Ova
 
Manzese crew
Gwm
Cbm crew
Big dogg pose
Dolphin pose
Bon cruz
Tng squad
Uswahilini matola
Sgf
Mbona sijawaona hapo? [emoji2375][emoji2375][emoji2375]
👏👏
GWM - Gangstaz With Matatizo
CBM - Check Bob Maarifa
BDP - Big Dogg Posse (Hili 'posse' inatamkwa 'pasi' kwa kiingereza, likimaanaisha kikundi)
SGF- Solid Ground Family
TNG -nilihisi linaamanisha Tanga Squad

Dolphin sikuwajua na Bon Cruz sidhani kama nawakumbuka 😀😀

Wazamani wengine nawakumbuka ni DEPLOWMATZ -Kina Balozi Dolasoul na Kwanza Unit, Hard Blasters na XPLASTAZ
 
Inspekta Haruun kutoka hukoo sayari ya mars....!!!

Acha tu+

Ohooo ohooooooo!.... kicheko cha Inspector
Mmhh!I thinking kulonga kuno akaanakanga kuisabanza igenzi, wanga wanaona wivu mtoto kujivinjari namii...... asali wa moyo
 
Mziki ulikua zamani jamani, ukipigwa sehemu lazima mtu unahaha, yaan mie bila mshua kuingilia kati, nisingekua hapa, nlishalowea kwenye madisco. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app

Ndio maana Radio One kulikuwa na kipindi cha nani zaidi kwa kuwa wanaofanana walikuwa ni wachache maana kila msanii alikuwa na ladha yake
 
...Enzi hizo mtoto wa Temeke usipojua Minanda ya kina Omary Omary Atomic music yake basi Gangwe Mob, Juma Nature, LWP majitu mwitu msitu, GWM baadae wakaja TMK Wanaume...... hiyo ni kabla Singenge na Singeli..
 
Aisee ile pini kali sana. Popote kambi babuu weka maskani.

Nilikutana na Inspector Haroun sikumoja hapo Ubungo darajani kabla hawajaanza kujenga ilo flyover. Dah. Nilisikitika sana.
Wasanii wengi wa zamani wamechoka sana nahisi kipindi hicho wasanii walikuwa bado hawajajua kutumia vizuri wanachopata lakini pia hakukuwa na hizi You tube hivyo msanii alitegemea show tu na viingilio vilikuwa elfu tatu mpaka elfu mbili sasa hapo utoe pesa ya promoters, usafiri, maandalizi nk.
 
Back
Top Bottom