Haya malalamiko ya hawa ma_brother yana ukweli wowote?

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
Was'hkaji eeeeeeeh!

Juzi kanipigia simu brother mmoja wa wa kitaa cha #tegeta_tanki_bovu,

Ili nikampige twisheni ya kiswahili mdogo wake wa kike wa pale jangwani kwa kipindi cha likizo.

Sasa nimefika pale

Wakati tunakunywa chai

Brother akaanza kujikuta ananipa 'ubuyu' kama ifuatavyo,

"unajua nini ndugu wa mtwiz?

Kiukweli wakati mwingine vitu wanavyovipenda wanawake ni vya ajabu sana,

Yaani

Hawatabiriki kabisaaa!

unaweza shangaaa we' ni mwema,

Mkarimu,

Msafi,

una mwonekano mzuri,

Unavaa vizuri,

Una lugha nzuri na ya stara,

unaonesha kuguswa na masuala yake

na

kujisogeza karibu yake huku ukimshauri mambo mbalimbali endelevu

na ya ustawi wa uchumi na jamii yake,

Pia unaonesha utayari wa kusaidiana na'e katika hali na nyanja zote za maisha,

Ila

*tongozo* zako zinapigwa kibuti kila siku.

-------
Badala yake unakuja kubaini kuwa kahamishia attention yake yote kwa mwana flani mtaa wa 4,

Ambaye ni mlevi tu, anakunywa viroba kama maji,

Na anavuta sigara aina ya embassy balaa!

Kwenye mavazi sasa,

anavaa milegezo tako zote nje,

Na lugha yake hawezi kuongea maneno bila kutupia matusi,

Mwana sio mcheshi,

Ni mtu wa maudhi kichizi,

Na hana hata dalili ya kuonesha kumjali huyo binti hata kidogo,

Ila binti anatangaza anampenda kisa ana kisogo kirefu!

Sasa nd'o nini?!?!

Baadhi ya hawa ndugu zetu wa jinsia ingine yabidi tu tuwapeleke muhimbili,

Ili zifanyike jitihada za kuwapima akili!

************

Sasa hapohapo nd'o nikakumbuka stori ya brother mmoja

Ambaye ni jirani yetu hapa kitaa cha @kawe_ukwamani juzi tu alinisimulia

Jinsi alivyosumbuliwa na mkewe alipokuwa mjamzito.

Mke wa jamaa alipokuwa mjamzito alimsumbua sana, maana muda wote alikuwa anajisikia kunusa na kulamba kwapa la mumewe!

So, hata jamaa akiwa job anapigiwa simu apeleke kwapa haraka sana,

Ingawa ni kwa shingo upande inabidi aombe ruhusa asingizie mkewe kazidiwa akimbie kuwahi home kumpa wife kwapa!

Na hiyo ni kila siku,

Asubuhi, mchana na usiku.

Baada ya kujifungua jamaa akaapa hampi mimba nyingine mpaka labda miaka 8 ipite,

Maana'ke akikumbuka ile tabu aliyoipata ya kupeleka kwapa kama ratiba ya chakula

hana hamu kabisa!

Akamalizia kwa kuniambia kuwa,

"mdogo wangu seneta wa mtwiz,

Hawa viumbe ni wa kuwaelewa tu,

Vinginevyo utakonda kama ufagio wa mwanafunzi wa chekechea!"
------
Nimemaliza!
 
We mpuuzi, Tangi bovu haiko Tegeta
 
Nimependa tu hapa
SO HATA JAMAA AKIWA JOB ANAPIGIWA SIMU APELEKE KWAPA HARAKA SANA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…