Haya mambo nimeacha kabisa nowdays. Ukijichanganya tu umeliwa

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,489
Reaction score
5,764
Nimeacha haya mambo kabisa. Nimeona ni kujiongezea shida.

1. Kumpigia simu demu kumsalimia. Ukimpigia ukamsalimia ukamuuliza mambo vipi akajibu mabaya. Ukijichanganya kuuliza shida nini hapo lazima aku bom.

2. Kutaka nyingi nasaba na mademu, hapo ni kupata mingi misiba. Mademu wa sasa ukimlamba tu siku mbili atakuambia kodi imeisha, hana pesa. Atakuambia anaumwa anahitaji matibabu n.k so now siwagongi hawa njaa kali natafuta wenye pesa zao tunapeana raha tu siyo shida.

3. Kama demu siku nyingi hajakusalimia akikusalimia usimjibu au anza kumwambia wewe habari mbaya. Tena ukiona anakuita My, Dear, Sweet, Love n.k ndo kabisa. Hapo elewa anachotaka ni pesa. Atakupa utelezi ila utalipia. Hakuna mapenzi ya kweli nowdays.

4.ukimtongoza tu demu kwa sasa anakuja na shida zake zote kuzitua kwako. Acha kutongoza tongoza. Fanya maisha tu. Enjoy life. Kuwa na mtu ambaye mtaonana kwa ajili ya game kisha kila mtu atashika hamsini zake.
 
Sindio Mana watu wana oa ??
Hizo Tabu zote za nini, Find a good wife and you will see a difference
 
3. Kama demu siku nyingi hajakusalimia akikusalimia usimjibu au anza kumwambia wewe habari mbaya. Tena ukiona anakuita My, Dear, Sweet, Love n.k ndo kabisa. Hapo elewa anachotaka ni pesa. Atakupa utelezi ila utalipia. Hakuna mapenzi ya kweli nowdays.
Unakutana na mwingine anakaa Mabibo hostel unamwambia njoo Corner Bar External, anakuambia nitumie nauli, ukiuliza kiasi gani, unaambiwa 10K, mtumie uone🤣
 
Nimeacha haya mambo kabisa. Nimeona ni kujiongezea shida.
1. Kumpigia simu demu kumsalimia. Ukimpigia ukamsalimia ukamuuliza mambo vipi akajibu mabaya. Ukijichanganya kuuliza shida nini hapo lazima aku bom.

2. Kutaka nyingi nasaba na mademu, hapo ni kupata mingi misiba. Mademu wa sasa ukimlamba tu siku mbili atakuambia kodi imeisha, hana pesa. Atakuambia anaumwa anahitaji matibabu n.k so now siwagongi hawa njaa kali natafuta wenye pesa zao tunapeana raha tu siyo shida.

3. Kama demu siku nyingi hajakusalimia akikusalimia usimjibu au anza kumwambia wewe habari mbaya. Tena ukiona anakuita My, Dear, Sweet, Love n.k ndo kabisa. Hapo elewa anachotaka ni pesa. Atakupa utelezi ila utalipia. Hakuna mapenzi ya kweli nowdays.

4.ukimtongoza tu demu kwa sasa anakuja na shida zake zote kuzitua kwako. Acha kutongoza tongoza. Fanya maisha tu. Enjoy life. Kuwa na mtu ambaye mtaonana kwa ajili ya game kisha kila mtu atashika hamsini zake.
Tafuta hela uache kulia lia hovyo mitandaoni.
 
Back
Top Bottom