Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
Hehehe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na tunaaanzaga kuwapiga vibomu ili msiombe utamu
Ukiwa na mke unaweza kuepukana na hayo. Oa
Usiwasikilize wale KATAA NDOA ni vichaa [emoji1]
Unakutana na mwingine anakaa Mabibo hostel unamwambia njoo Corner Bar External, anakuambia nitumie nauli, ukiuliza kiasi gani, unaambiwa 10K, mtumie uone🤣3. Kama demu siku nyingi hajakusalimia akikusalimia usimjibu au anza kumwambia wewe habari mbaya. Tena ukiona anakuita My, Dear, Sweet, Love n.k ndo kabisa. Hapo elewa anachotaka ni pesa. Atakupa utelezi ila utalipia. Hakuna mapenzi ya kweli nowdays.
Tafuta hela uache kulia lia hovyo mitandaoni.Nimeacha haya mambo kabisa. Nimeona ni kujiongezea shida.
1. Kumpigia simu demu kumsalimia. Ukimpigia ukamsalimia ukamuuliza mambo vipi akajibu mabaya. Ukijichanganya kuuliza shida nini hapo lazima aku bom.
2. Kutaka nyingi nasaba na mademu, hapo ni kupata mingi misiba. Mademu wa sasa ukimlamba tu siku mbili atakuambia kodi imeisha, hana pesa. Atakuambia anaumwa anahitaji matibabu n.k so now siwagongi hawa njaa kali natafuta wenye pesa zao tunapeana raha tu siyo shida.
3. Kama demu siku nyingi hajakusalimia akikusalimia usimjibu au anza kumwambia wewe habari mbaya. Tena ukiona anakuita My, Dear, Sweet, Love n.k ndo kabisa. Hapo elewa anachotaka ni pesa. Atakupa utelezi ila utalipia. Hakuna mapenzi ya kweli nowdays.
4.ukimtongoza tu demu kwa sasa anakuja na shida zake zote kuzitua kwako. Acha kutongoza tongoza. Fanya maisha tu. Enjoy life. Kuwa na mtu ambaye mtaonana kwa ajili ya game kisha kila mtu atashika hamsini zake.
Nimecheka sana mpaka nyumba ya pili wamenisikiaUkiwa na mke unaweza kuepukana na hayo. Oa
Usiwasikilize wale KATAA NDOA ni vichaa 😄
Dada pesa zipo ila hatugawi tu pesa kwenu kwa namna mnavyodangaTafuta hela uache kulia lia hovyo mitandaoni.
Na wanakwambia hivo wakati wao washaoa/olewa mda mrefu na wako na familia zao[emoji10]Ukiwa na mke unaweza kuepukana na hayo. Oa
Usiwasikilize wale KATAA NDOA ni vichaa [emoji1]