Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Hayo maji huwa ni ya moto au baridi......?.....maana nahisi naweza kuua mtu.......
!
!
Hahaha... Ya moto band
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo maji huwa ni ya moto au baridi......?.....maana nahisi naweza kuua mtu.......
Birthday yangu ikifika ntakuambia ujeNina hamu ya kukumwagia..
Mkuu kumwagianA maji ni sherehe fulani kwenye baadhi ya nchi za bara la asia.mfano mynmar,laos,vienam,thailand nk..ni national holiday kabisa for one week..bongo wanaiga tuNimekuwa nikiona watu mbalimbali wanafanya hizi sherehe za kuzaliwa wanamwagiwa maji wanaloa tepe tepe ipo siku mtaua mtu na huo ushamba wenu, kwanza sherehe gani hiyo ya kumwagiana maji kiasi hicho, yaani unamkuta mwanaume na ndefu zake baba jitu zima na lenyewe linamwagiwa maji au kumwagia wengine wanaume tumebaki wachache.
Hivi hakuna namna nyingine ya kusherehekea bila kumwagiana maji, hivi mnajua kuna wengine wamezaliwa na matatizo yao ya kiafya, hivi ulimbukeni wa kumwagiana maji tumeutoa wapi hivi kwa huu ujinga nchi hii itapata maendeleo kweli, hata kama ni kumbukumbu nyie mmezidi.
Duh!kama tungo tata flan hivi!Mi nimwagiwe tu sina tatizo
Sijawahi kuhudhuria sherehe hizi za birthday mweee! Afadhali mleta post kanitoa ushamba nikipata mwaliko nibebe kabisa ndo ya maji sasa unamwaga random au kuna protocol nisije kuzua taharuki!Hayo maji huwa ni ya moto au baridi......?.....maana nahisi naweza kuua mtu.......
Sijawahi kuhudhuria sherehe hizi za birthday mweee! Afadhali mleta post kanitoa ushamba nikipata mwaliko nibebe kabisa ndo ya maji sasa unamwaga random au kuna protocol nisije kuzua taharuki!
Mwendesha baiskeli mwenzangu nawe una mambo! Unasahau vipi siku uliyosherekea Birthday yako sasa?Hii kitu mimi mwenyewe sipendi birthday yenyewe sikumbuki ni lini nimesherekea
Teh teh si unajua tena jua letu na mvua ni yetu ,nguvu bado tutumie kuendesha baiskeli njiani bado hatuheshimiki wala hatuangaliwi kweli kwa hali hiyo nitasherekea wapi Birthday maskini ya Mungu ,mimi zinanipitaga tu mda mwingine sikumbukiMwendesha baiskeli mwenzangu nawe una mambo! Unasahau vipi siku uliyosherekea Birthday yako sasa?
Lakini tuna afya madhubuti sana, hatuna vitambi wala magonjwa ya ajabu, ila changamoto kwetu ni hali ya hewa tu. Mi huwa nasherekea ila sio kwa kumwagiwa maji mana maji yanayotupata kipindi cha mvua yanatosha na sitaki mengine.Teh teh si unajua tena jua letu na mvua ni yetu ,nguvu bado tutumie kuendesha baiskeli kweli kwa hali hiyo nitasherekea wapi Birthday maskini ya Mungu ,mimi zinanipitaga tu mda mwingine sikumbuki
"Washamba wachangamfu" teh teh tehImekopiwa mahali alafu imepestiwa vibaya na washamba wachangamfu.
Kwa kweli wewe una haki tu ya kusherekea it was never easy being a woman ... ,mentoring kids,Taking care of a grown ass man as long as you live ........whenever things went wrong you always take all the blames jamaniLakini tuna afya madhubuti sana, hatuna vitambi wala magonjwa ya ajabu, ila changamoto kwetu ni hali ya hewa tu. Mi huwa nasherekea ila sio kwa kumwagiwa maji mana maji yanayotupata kipindi cha mvua yanatosha na sitaki mengine.