Haya mambo ya kumwagiana maji wakati wa 'Birthday' mtakuja muue mtu

Ko koo koo koo!, nilivosoma heading nikastuka, kumwagiwa
 
Mkuu kumwagianA maji ni sherehe fulani kwenye baadhi ya nchi za bara la asia.mfano mynmar,laos,vienam,thailand nk..ni national holiday kabisa for one week..bongo wanaiga tu
 
Hii tabia imezuka sana mitaani. Mwaka jana niliishuhudia chuo flani manaume wanavyoonekana lakini kumfuata rafiki yao mpaka bweni la wenzake na kumuongopea kuwa kuna dili wafuatane kurudi dormitory yao.

Kutoka tu kosa. Pwaaaaah! Ndoo mbili then aliishia anacheka tuh!

Na vile alitoka kwa dem ameaaga kuwa anarudi, hakurudi kabisa. Surprise zingine BIG NO, na strictly I don't want to see. Nahisi kujeruhi kabisa.
 
Kuna mahali inaitwa nuwa aka dawasco
Siku hiyo watanikuta mtaalam wa kupga nuwa aka dawasco lzm mtu azimie km sio kufa

Maana sito mmwagia bali ni kumchapa nayo usoni mfululizo kuhakikisha hapumui vizuri mpk amchungulie israeli
 
hali ngumu ;sasa kama hakuna shampeini hata maji tusimwagiane
 
Hayo maji huwa ni ya moto au baridi......?.....maana nahisi naweza kuua mtu.......
Sijawahi kuhudhuria sherehe hizi za birthday mweee! Afadhali mleta post kanitoa ushamba nikipata mwaliko nibebe kabisa ndo ya maji sasa unamwaga random au kuna protocol nisije kuzua taharuki!
 
Sijawahi kuhudhuria sherehe hizi za birthday mweee! Afadhali mleta post kanitoa ushamba nikipata mwaliko nibebe kabisa ndo ya maji sasa unamwaga random au kuna protocol nisije kuzua taharuki!

Mimi na Mentor tuna birthday tar 28 mwezi huu......tutakualika.....lakini bora uje na champagne ndio inamwagika vizuri.......ukija na mndoo wako wa maji ndugu yangu hutaingia.......kukutahadharisha tu......
 
Mwanaume muafrica mtu mzima kufanya birthday party tena unaalika na watu sio sawa kabisa, at least kwa mtazamo wangu. Hawa ndio wale wanaume wanaenda kuombewa ili wapate pesa za kununua gari. Kuna mambo tuachie wanawake tu
 
On my birthday naruhusu kumwagiwa only champagne may be" maji na ndoo peleka chooni
 
Mwendesha baiskeli mwenzangu nawe una mambo! Unasahau vipi siku uliyosherekea Birthday yako sasa?
Teh teh si unajua tena jua letu na mvua ni yetu ,nguvu bado tutumie kuendesha baiskeli njiani bado hatuheshimiki wala hatuangaliwi kweli kwa hali hiyo nitasherekea wapi Birthday maskini ya Mungu ,mimi zinanipitaga tu mda mwingine sikumbuki
 
Teh teh si unajua tena jua letu na mvua ni yetu ,nguvu bado tutumie kuendesha baiskeli kweli kwa hali hiyo nitasherekea wapi Birthday maskini ya Mungu ,mimi zinanipitaga tu mda mwingine sikumbuki
Lakini tuna afya madhubuti sana, hatuna vitambi wala magonjwa ya ajabu, ila changamoto kwetu ni hali ya hewa tu. Mi huwa nasherekea ila sio kwa kumwagiwa maji mana maji yanayotupata kipindi cha mvua yanatosha na sitaki mengine.
 
Lakini tuna afya madhubuti sana, hatuna vitambi wala magonjwa ya ajabu, ila changamoto kwetu ni hali ya hewa tu. Mi huwa nasherekea ila sio kwa kumwagiwa maji mana maji yanayotupata kipindi cha mvua yanatosha na sitaki mengine.
Kwa kweli wewe una haki tu ya kusherekea it was never easy being a woman ... ,mentoring kids,Taking care of a grown ass man as long as you live ........whenever things went wrong you always take all the blames jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…