Haya mambo ya kumwagiana maji wakati wa 'Birthday' mtakuja muue mtu

Kwa kweli wewe una haki tu ya kusherekea it was never easy being a woman ... ,mentoring kids,Taking care of a grown ass man as long as you live ........whenever things went wrong you always take all the blames jamani

Ni kweli kabisa, wife,mom, wakati mwingine nurse au mwalimu sio kazi ndogo ila nashukuru mambo yanaenda vyema can't complain
 
Ni kweli kabisa, wife,mom, wakati mwingine nurse au mwalimu sio kazi ndogo ila nashukuru mambo yanaenda vyema can't complain

Isingekua umaskini wetu na kuendesha baiskeli birthday yako walau tungefanya Road trip along the Great Ocean Road ,Australia the exquisite combination of moist ocean breeze, soft whisperings of crashing waves, light music in a car badala ya kumwagiana maji ila ndio hivyo tena itabaki kua ndoto tu
 
Mkuu nna changamoto zaidi ya hizo.
Hapa sahizi kumefreeze Hatari tuko na -29 snow imeshakomaa kiasi cha kuweza kupita juu ya maji na baiskeli bila shida. Kumeganda mno. Sasa Birthday yangu pia huangukia kipindi cha baridi pia.

Umaskini ni tatizo kwakweli ila iko siku tutaweza kukamilisha ndoto hiyo
 
Aisee pole sana hapo sidhani hata kama mtu ana smile itakua kila unaye pishana nae kanuna ...Birthday inayokuja opt for a wild safari in Africa, A wild birthday amidst the jungle of Africa with lions roaring and zebras running around being in the middle of wilderness; close to the nature.na hali ya hewa ni rafiki pia
 
Mimi na Mentor tuna birthday tar 28 mwezi huu......tutakualika.....lakini bora uje na champagne ndio inamwagika vizuri.......ukija na mndoo wako wa maji ndugu yangu hutaingia.......kukutahadharisha tu......

Hahaha...Tunakagua na zawadi mlangoni...!
 
Ila sio na baiskeli lol
 
Hayo maji huwa ni ya moto au baridi......?.....maana nahisi naweza kuua mtu.......
Yanalazwa kwenye friji au wanachukua ya room temperature kisha wanaweka udongo wanakuvizia wakuogeshe
 
Tumwagieni hela badala ya maji itakuwa safi sana njoo na ndoo yako ya hela ruksa kunimwagia hata pipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…