Haya mananasi yametapakaa vibaya mno, yaani usipokula nanasi kipindi hiki sahau

Haya mananasi yametapakaa vibaya mno, yaani usipokula nanasi kipindi hiki sahau

Kwan kua fb kuna ubaya gan kiongoz,au hujui zuckerbag ni tajir bilionea namba 1 dunian.na ameshainunua whatsapp anaelekea kuinunua instagram

Siyo anaelekea, Zuckerberg aliinunua instagram zamani hata kabla ya kuinunua whatsap ...
 
Si ndo had nikue sasa..we ni mzee tayar ndomana ukaona hvyo..unapingana na sentensi unazoandika..ushasema mi ni mtoto then what..let me do utoto..kiongoz unatumia nguv nying kwa som1 unknownimous...hunijui...hahaha,dah,dhik mbaya sana,unakua na hasira hasir tuu.be positive..kwan ukisoma na kuacha kuna tatzo gan.kwan nmeandika matusi?we soma au acha nenda kalale
Haya nenda kalale sasa ili kesho usichelewe Shule.
 
Yanaongeza Nguvu? Tuanzie hapo kwanza!
 
Back
Top Bottom