Nani kama Mama? Hahahahahahaa unajiuliza, hawa watu hawana wazazi wao kweli??Hapana,yupo sahihi....we chukulia mfano wa hali ya siasa nchini kwetu...Kuna wakati ujao hapa? ...walewale,kilekile....
Watu weusi wanapenda kulalama sana shenzi
Mi naamini namna nchi ilipata Uhuru wake inaathiri mustakabali wake. Eg Kenya & Tanzania two different countries.Nani kama Mama? Hahahahahahaa unajiuliza, hawa watu hawana wazazi wao kweli??
Yana justification.Haya maneno yaliyowahi kutamkwa na Sarkozy, rais wa Ufaransa kabla ya Macron. Aliyasema katika hotuba yake alipotembelea Africa kwa mara ya kwanza katika chuo kikuu cha Dakar, Senegal mwaka 2007
Maneno yenyewe yaliyolalamikiwa kuwa ni ya kibaguzi sana ni haya,
"The tragedy of Africa is that the African has not fully entered into history. They have never really launched themselves into the future,"
Kwa tafsiri isiyo rasmi "Tatizo la Africa ni kwamba Mwafrika bado hajaingia kwenye historia kikamilifu, hawajawahi kujiongoza/kujipeleka wenyewe katika wakati ujao"
Je haya maneno yana ishara yoyote ya ubaguzi?
A bitter truth.Haya maneno yaliyowahi kutamkwa na Sarkozy, rais wa Ufaransa kabla ya Macron. Aliyasema katika hotuba yake alipotembelea Africa kwa mara ya kwanza katika chuo kikuu cha Dakar, Senegal mwaka 2007
Maneno yenyewe yaliyolalamikiwa kuwa ni ya kibaguzi sana ni haya,
"The tragedy of Africa is that the African has not fully entered into history. They have never really launched themselves into the future,"
Kwa tafsiri isiyo rasmi "Tatizo la Africa ni kwamba Mwafrika bado hajaingia kwenye historia kikamilifu, hawajawahi kujiongoza/kujipeleka wenyewe katika wakati ujao"
Je haya maneno yana ishara yoyote ya ubaguzi?
Kwa jinsi tulivyo "WAJINGA", mbona katusifia sana tu!!!!....Haya maneno yaliyowahi kutamkwa na Sarkozy, rais wa Ufaransa kabla ya Macron. Aliyasema katika hotuba yake alipotembelea Africa kwa mara ya kwanza katika chuo kikuu cha Dakar, Senegal mwaka 2007
Maneno yenyewe yaliyolalamikiwa kuwa ni ya kibaguzi sana ni haya,
"The tragedy of Africa is that the African has not fully entered into history. They have never really launched themselves into the future,"
Kwa tafsiri isiyo rasmi "Tatizo la Africa ni kwamba Mwafrika bado hajaingia kwenye historia kikamilifu, hawajawahi kujiongoza/kujipeleka wenyewe katika wakati ujao"
Je haya maneno yana ishara yoyote ya ubaguzi?
Hakika
Inawezekana piaMi naamini namna nchi ilipata Uhuru wake inaathiri mustakabali wake. Eg Kenya & Tanzania two different countries.