Haya maneno ni ya kweli!

Haya maneno ni ya kweli!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuu haya maneno ni yakweli au ni misemo tu?Kama ni ya kweli basi sredi ya jana ya Da Sophy inaweza toshelezwa na maneno haya.

While you SCREAM at your woman, there's a man wishing he could whisper softly in her ear... While you HUMILIATE,OFFEND and INSULT her, there's a man flirting with her and
reminding herhow wonderful she is. While you HURT your woman, there's a man wishing he could make love to her. While you make your woman CRY there'sa man ...stealing smiles from her.
 
hayo maneno tu hata kwenye kanga za wadhungu yapo
 
Joe Thomas alisema kwenye 'TREAT HER LIKE A LADY' kuwa what you are not doing another man is willing
 
mh km ni maneno tu poa we fanya kinyume.kamfanyie madudu then u wl knw if its maneno tu au ni maaandsh tu ata kwenye magazet yapo!!!!!!!!!!!!!!1
 
Frankly mie siwezi kuishi na mwanaume mwenye ku scream, humiliate, offend or insult me... I will either kill him or leave him...I prefer leaving him because someone like that is not worth my time or energy... mie uvumilive wa hivyo zero... labda mambo madogo madogo....
 
Ukisikia masahibu yanayowakuta wenzio ......mbona haya ni madogo tu!
 
Back
Top Bottom