Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
Wakuu nilikua nasikiliza wimbo mmoja wa Jay-z aliowashirikisha Kanye West na Rihanna unaoitwa RUN THIS TOWN, katika huo wimbo kuna mstari unaosomeka:
"What you think I rap for, to push a fucking Rav-4"
Yaani wakati wengine tunatambiana sijui Rav-4 new model, mara old model mara sijui kili time yeye anatukana hivyo gari yetu pendwa anaichukuliaje kwa mfano? Kweli Kanye akapimwe mkojo maana hamna namna sasa.
Nimekasirika sana Kanye popote ulipo.