ni aibu kiongozihahahhahahhaa yaani ni sawa na kirikou!
Wala hana habari na vigari useless kama hivyoNi sehemu ya wimbo tu hiyo, alafu hizi gari hawazijui kule kwao.
Hapana ni "next time I'm in church please no photos"Hicho chuma achana nacho mkuu akili zake anazijua mwenyewe, ktk hyo hyo ngoma kuna line anakwambia "next time when i'm in church please don't fall down" sasa cjui alikuwa anawaambia wale wazee wa kujiangusha church au anajua mwenyewe
[emoji106]Hapana ni "next time I'm in church please no photos"
akanye west huku east hakuna chooWakuu nilikua nasikiliza wimbo mmoja wa Jay-z aliowashirikisha Kanye West na Rihanna unaoitwa RUN THIS TOWN, katika huo wimbo kuna mstari unaosomeka:
"What you think I rap for, to push a fucking Rav-4"
Yaani wakati wengine tunatambiana sijui Rav-4 new model, mara old model mara sijui kili time yeye anatukana hivyo gari yetu pendwa anaichukuliaje kwa mfano? Kweli Kanye akapimwe mkojo maana hamna namna sasa.
Nimekasirika sana Kanye popote ulipo.
Siyo kweli, nimeona gari kibao Rav $, harrier hizi za mwaka 2006 huku tunaziita matako ya nyani, Toyota Prius Hybrid kibao kwenye movie za Kimarekanihahahhahahhaa yaani ni sawa na kirikou!
Bora wewe mwenye RAV4 wengine tuna tized 11Wakuu nilikua nasikiliza wimbo mmoja wa Jay-z aliowashirikisha Kanye West na Rihanna unaoitwa RUN THIS TOWN, katika huo wimbo kuna mstari unaosomeka:
"What you think I rap for, to push a fucking Rav-4"
Yaani wakati wengine tunatambiana sijui Rav-4 new model, mara old model mara sijui kili time yeye anatukana hivyo gari yetu pendwa anaichukuliaje kwa mfano? Kweli Kanye akapimwe mkojo maana hamna namna sasa.
Nimekasirika sana Kanye popote ulipo.
Kwa kuziona zikipakiwa kwenye meli kuja bongoland.kama hawazijui huko kwao amezijuaje?
US Rav 4 iko kwa sana tu.,ila wao huko hizo wanaziona kama chombo cha usafiri na sio gari kama gari.Ni sehemu ya wimbo tu hiyo, alafu hizi gari hawazijui kule kwao.