Haya maneno ya Kanye West yamenikasirisha. Kwani anaichukuliaje RAV 4?

Tangia 2010 ndo unashtuka saivi?
 
Kanye alienda Hawaii kufanya show so kwenda kumpokea na kumtembeza mjini wenyeji wake walikua wanatumia rav4 Kanye alikua hajafurahia lile jambo like "mimi waku roll kwenye rava 4" haha fun little tho
 
Kweli rav 4 imekuwa fucked up...
sasa IST sijui ingekuwaje!!
 
[emoji23][emoji23] ashakuambia anapenda "whips " (sports cars) .
Hii niliwahi ifuatiliaga nikapata stori kuwa jamaa aliwahi kwenda hawaii wakati ana andaa moja ya album zake ,sasa aliyempokea ndo akawa anamzungusha hawaii nzima kwa rav 4 .
Hivyo jamaaa ana bonge la historia na hivyo vigari.
 
Hicho chuma achana nacho mkuu akili zake anazijua mwenyewe, ktk hyo hyo ngoma kuna line anakwambia "next time when i'm in church please don't fall down" sasa cjui alikuwa anawaambia wale wazee wa kujiangusha church au anajua mwenyewe
Si fall down ni hivi.
"Next time am in church , please no photos".
Ni kwamba kwemye msiba wa mama yake kabla ya hii nyimbo(run this town) kuachiliwa .
Jamaaa alipata shida sana na ma paparazi kanisani.
 
Magari ya Asia ....USA na Ulaya ni ya wabeba maboksi
 
ila wewe mod unayejishughulisha na kuedit thread zangu nakuvutia kasi tuu, subiri dawa yako inachemka
 
Hicho chuma achana nacho mkuu akili zake anazijua mwenyewe, ktk hyo hyo ngoma kuna line anakwambia "next time when i'm in church please don't fall down" sasa cjui alikuwa anawaambia wale wazee wa kujiangusha church au anajua mwenyewe
Hakusema hivo, kilicho semwa ni

Next time I'm in church, please no photos
 
Marekani kuna gari za kutisha,gari ambazo hutawahi kuziona bongo leo hata kesho na zinadharaulika,sembuse hiyo RAV-4
 
Umebadili maana ya huo mstari kwa kutokuweka alama ya kuuliza mwisho wa mstari.
 
Hicho chuma achana nacho mkuu akili zake anazijua mwenyewe, ktk hyo hyo ngoma kuna line anakwambia "next time when i'm in church please don't fall down" sasa cjui alikuwa anawaambia wale wazee wa kujiangusha church au anajua mwenyewe

Next time am in church, please no photos... Akiwaambia paparazzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…