Hahahaha nakmbia[emoji125][emoji125][emoji125]utarudije na ushakula vya watu
Huko uliko mnalipia Sh ngapi mkuu...?Chumba cha Shs ngapi?
Guest siyo level yangu. Ni Hotel au Lodge zenye hadhi.Huko uliko mnalipia Sh ngapi mkuu...?
Naona hili ndo dhumuni lako na ndio kitu ukichosubiri uki-state hapa By the way tumejua kuwa unatumiaga Hotel tena ni Selena Hotel hongeraGuest siyo level yangu. Ni Hotel au Lodge zenye hadhi.
Kwenye Guest hupelekwa mademu wa grade ya chini.
Samahani5kama nitawakwaza baadhi. Ukweli lazima usemwe!
Hotel za kawaida Kiongozi. Lakini si Guest zenye kunguni.Naona hili ndo dhumuni lako na ndio kitu ukichosubiri uki-state hapa By the way tumejua kuwa unatumiaga Hotel tena ni Selena Hotel hongera
Saa ingine ujiulize je ,,,upo duniani kulinda dunia?Habari guys.
Hv unajisikiaje unaingia guest/logde na demu wako chumbani ukakuta maneno kama haya nyuma ya mlango na vyooni kote. "KUWA MAKINI UKIMWI UPO NA UNAUA" Hapo kumbuka umekamia mechi na huna hata kondom.
Duh huwa inaniharibia mood ya kung'onika kabisa
Kuna Guest nyingine ilikua imeandikwa "Ndugu Mteja, furaha ya muda mfupi itakuletea majuto maisha yako yote, Roho wa Mungu akuongoze katika maamuzi yako haya"!!! Hahahaha hahahaha unaweza kuahirisha!!
DuuhhManeno yanakukumbusha kuilinda afya yako unasema yanaboa[emoji849][emoji3166]poleh
Habari guys.
Hv unajisikiaje unaingia guest/logde na demu wako chumbani ukakuta maneno kama haya nyuma ya mlango na vyooni kote. "KUWA MAKINI UKIMWI UPO NA UNAUA" Hapo kumbuka umekamia mechi na huna hata kondom.
Duh huwa inaniharibia mood ya kung'onika kabisa
Pale sio notice board hivyo usishughulike na yale matangazo....mimi nikiingia concentration yangu ni moja tuu KITANDAHabari guys.
Hv unajisikiaje unaingia guest/logde na demu wako chumbani ukakuta maneno kama haya nyuma ya mlango na vyooni kote. "KUWA MAKINI UKIMWI UPO NA UNAUA" Hapo kumbuka umekamia mechi na huna hata kondom.
Duh huwa inaniharibia mood ya kung'onika kabisa
Vp mkuu mbn duuuhDuuhh
Hahahahaaaa, haiya bhna kiongoziKwa Sisi wenye Damu 'Group O+' halafu pia tuna Matatizo ya Pumu ( Asthma ) hayo maneno na UKIMWI Wenyewe wala 'haututishi' kabisa Mkuu.
Sijawahi kutana na ayo manenoVp mkuu mbn duuuh
Azini salama labdaacha zinaa mkuu